Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Hahah hivi ni nani kweli alisema Dr. Slaa atakuwepo viwanja vya Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM na dhumuni lilikua ni nini?
 
Kama mnavyoona kinachoendelea sasa ni upotoshaji mkubwa wa habari unaofanywa na Ukawa ili kuhakikisha watu wanafika kwa wingi kesho Jangwani. Sasa mimi najiuliza, hawa watu si wanadai watanzania wengi wako nyuma yao na wameichoka CCM. Sasa nguvu yote hii ni ya nini? Mara kupotosha kuwa vigogo wa CCM 30 watahamia UKAWA-watu waende kuwaona, mara Dr. Slaa atahutubia, mara Lowasa kumwaga sera (wakati ameshindwa hilo katika miaka yake 30 ya siasa- ataweza kesho), mara kuna mkesha watu waje n.k. Yote haya ni ya nini? Mbona UKAWA wamepanic hivi.

Kesho tunataka kusikia ni nini mtawafanyia watanzania sio 'mchaka mchaka chinja' na maneno matupu ya 'mabadiliko. Kesho kwangu jangwani ni sehemu nzuri ya kuuza bidhaa zangu.


Unafikiri Jangwani kesho, hata simu yako itakosa nafasi ije iwe Ice Cream zako. Hata nafasi ya kushuta tu yenyewe hamna. Ukitaka kuuza bidhaa hudhuria CCM kampeni hizo zina nafasi hata ya kwenda kuvuta sigereti
 
UKAWA hawana haja ya kudanganya maisha bora kama CCM au huyo Makomeo mwenye kudanganya Flyovers wakati ameshindwa kwa miaka 20 kama waziri kujenga hata moja ..
 
Mpaka mkutano uishe kesho tutashihudia sarakasi za kila namna.
Mie najiandaa na chupa langu kubwa la maji in case chochote kinaweza tokea.
 
..mwanzo hawakujua km inaua mchwa,ndio wameshtuka..!
Mkuu hii ni oil safi ila mashine ndio ilikuwa mbovu oil ikavuja wajanja wakaikinga wakaweka kwenye mshine nzima sasa mashine inakwenda kasi vibaya mnoo ndio maana wamilki wa oil wa zamani wanaweweseka.😛eace:
 
Ngoja tuone wameenda kufanya nini
ila wakizengua tutatumia hata jukwaa
la kwenye gari au isije kuwa nalo
wanataka kibali chake...
attachment.php


attachment.php

attachment.php
 
Hivi kuna nguvu kubwa kama kubeba watu kwa magari kila kona ya jiji na mikoa jirani?
 
Wanatekeleza amri ya afande ya kumfuatilia kwa karibu huyu mgombea anayeibuka kwenye masoko na vituo vya daladala bila taarifa wala ruhusa yao.
 
washasema kuwa hii oil chafu lakini wanahangaika nayo mapaka basi

Wamegundua Oil chafu kumbe bado ina dili na siyo ya kutupa. Unaweza kupaka mbao kuzuia mchwa CCM wasile.
 
Kama mnavyoona kinachoendelea sasa ni upotoshaji mkubwa wa habari unaofanywa na Ukawa ili kuhakikisha watu wanafika kwa wingi kesho Jangwani. Sasa mimi najiuliza, hawa watu si wanadai watanzania wengi wako nyuma yao na wameichoka CCM. Sasa nguvu yote hii ni ya nini? Mara kupotosha kuwa vigogo wa CCM 30 watahamia UKAWA-watu waende kuwaona, mara Dr. Slaa atahutubia, mara Lowasa kumwaga sera (wakati ameshindwa hilo katika miaka yake 30 ya siasa- ataweza kesho), mara kuna mkesha watu waje n.k. Yote haya ni ya nini? Mbona UKAWA wamepanic hivi.

Kesho tunataka kusikia ni nini mtawafanyia watanzania sio 'mchaka mchaka chinja' na maneno matupu ya 'mabadiliko. Kesho kwangu jangwani ni sehemu nzuri ya kuuza bidhaa zangu.



Pole sana ndugu yangu, ninaona jinsi gani unavyoumia.

Wivu humuua mtu mjinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom