Kesho tar 29/8 historia itaandikwa kwa manufaa ya vizazi vya sasa na baadae pale viwanja vya jangwani ambapo wapenzi,wanachama na wanamabadiliko wote watafanya mkutano wa uzinduzi wakampeni za uchaguzi.Ukipita mitaa mbalimbali ya jiji na viunga vyake habari kubwa iliyotawala ni msisimko wa kushiliki tukio hilo LA kistoria ambalo ndilo linaenda kutoa rais wa nchi.
Vijana kwa wazee wameapa kuamka alfajili ili kuwahi nafasi kwa hofu ya kukosa nafasi kiwanjani hapo,ama hakika UKAWA NI TUMAINI LA WATANZANIA.