Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Naiweka kama nilivyotumiwa na Classmate wangu.


Wana 4U movement mkoa wa kilimanjaro kma ambavyotumekubaliana kwenye kikao chetu juu ya kwenda dar kwenye uzinduzi wa kampeni za lowassa tutaondoka moshi mjini saa 12 jioni
Tutaondokea Mekuz na viongozi wa msafara watakuwa makamanda wetu fredi mushi na Paul matemu tuwah jamani
Tumeamua kuondoka mda huo ilitupite usiku kwa usiku wasione kma lowassa ametoa watu mikoani lkn pia tulishakubaliana tutampa kila mtu nauli yake ya daladala ilituingie jangwani kwa daladala kuwaaminisha watu kuwa tumekwenda kwa mapenzi yetu. Msisahau majina ya hoter zenu mtakazofikia ukisahau wasiliana na mratibu wako.
Maelekezo mengine mtapewa na viongozi wenu


By Dr Juma Mwininga
Mratibu Mpya Wa 4U movement na Team lowasa Kitaifa

Utaangaika sana mwaka huu nyau wewe, kifo kipo palepale.
 
Ss wengine itabidi tusikilize mkutano tukiwa magomeni,kwa kuwa watu wataokuwepi jagwani,hawatoshi
 
kilamuruzi bwana, hela zilizoibwa kwenye hazina ya Serikali kupitia Meremereta, EPA,Escrow na kwenye Mfuko wa Barabara uliokuwa unasimamiwa na Magufuli wewe umetingwa kudai hela za Biashara ya Mbowe. Nyie mlikuwa mnasema CHADEMA ni Kampuni ya Mbowe na Mtei, leo mwenye Kampuni "Kaiuza" nyie mnapiga kelele. Tatizo letu na nyie ni kwa nini Serikali haikuchukua Kodi kwenye biashara hiyo??
 
Last edited by a moderator:
Hongeren cna makamanda tuko pamoja.nipo cha x but kura yangu na my familia yngu mhe lowassa umezipata.mm nikiongz wa juu katk cha x.
 
Kama ilivyokuwa Mwanza, kwa waliotayari Dar kunaweza kuwa mkesha mkubwa leo viwanja vya jangwani kuamkia mkutano wa uzinduzi kampeni - UKAWA 29.08.2015... Maandalizi yanaendeleo mdogo mdogo
 

Attachments

  • New Picture (81B).jpg
    New Picture (81B).jpg
    13.4 KB · Views: 297
  • New Picture (79A).jpg
    New Picture (79A).jpg
    8.4 KB · Views: 271
kilamuruzi bwana, hela zilizoibwa kwenye hazina ya Serikali kupitia Meremereta, EPA,Escrow na kwenye Mfuko wa Barabara uliokuwa unasimamiwa na Magufuli wewe umetingwa kudai hela za Biashara ya Mbowe. Nyie mlikuwa mnasema CHADEMA ni Kampuni ya Mbowe na Mtei, leo mwenye Kampuni "Kaiuza" nyie mnapiga kelele. Tatizo letu na nyie ni kwa nini Serikali haikuchukua Kodi kwenye biashara hiyo??

Sasa ndio anaingia Magufuri mzee wa mahesabu kila kitu kitalipiwa kodi tu. Hata hayo makanisa yanayoibiwa wananchi lazima walipe kodi.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mambo ya team team, team ni moja UKAWA na ndio hiyo teamLOWASSA.
 
lumumba wanatamani kutokee mvua kesho wanatamani wangewapata wataalamu wa mvua za kukodi kutoka thailand bt mtaalamu wa mvua za bankonk thailand 2nae sisi mr mamvi na ndo mbaya wao dah usiye mpenda kaja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom