wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Kama mnavyoona kinachoendelea sasa ni upotoshaji mkubwa wa habari unaofanywa na Ukawa ili kuhakikisha watu wanafika kwa wingi kesho Jangwani. Sasa mimi najiuliza, hawa watu si wanadai watanzania wengi wako nyuma yao na wameichoka CCM. Sasa nguvu yote hii ni ya nini? Mara kupotosha kuwa vigogo wa CCM 30 watahamia UKAWA-watu waende kuwaona, mara Dr. Slaa atahutubia, mara Lowasa kumwaga sera (wakati ameshindwa hilo katika miaka yake 30 ya siasa- ataweza kesho), mara kuna mkesha watu waje n.k. Yote haya ni ya nini? Mbona UKAWA wamepanic hivi.
Kesho tunataka kusikia ni nini mtawafanyia watanzania sio 'mchaka mchaka chinja' na maneno matupu ya 'mabadiliko. Kesho kwangu jangwani ni sehemu nzuri ya kuuza bidhaa zangu.
CCM imeingia kiwewe.
Naomba Tanesco kesho tuheshimiane
CCM imeingia kiwewe.
Hata wadanganye kuwa JK anahamia UKAWA hawatafurukuta kwa Magufuli
Mkuu hii ni oil safi ila mashine ndio ilikuwa mbovu oil ikavuja wajanja wakaikinga wakaweka kwenye mshine nzima sasa mashine inakwenda kasi vibaya mnoo ndio maana wamilki wa oil wa zamani wanaweweseka.😛eace:..mwanzo hawakujua km inaua mchwa,ndio wameshtuka..!
washasema kuwa hii oil chafu lakini wanahangaika nayo mapaka basi