Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Ukawa wamkaribishe Profesa Kikwete aone Live Mambo Ya Ukawa. Tumechoka kusikia kauli zake za Oooh, Mara za kuteneneza! Mara ooooh, za zamani wakati wa Dr. Slaa! Ashuhudie mwenyewe hiyo kesho paleeeeee! Jangwani.
Inawezekana haya aliyaongea bila kukumbuka kwamba kampeni hazijaanza rasmi. Sasa zimeanza na atawafanya hata wale ambao hawakuwa na umakini katika umati wa watu, waangalie hayo mafuriko ili kulinganisha kauli ya mkuu na majibu watakayoyapata kila mmoja atajua nani ni mkweli.
 
Kesho tar 29/8 historia itaandikwa kwa manufaa ya vizazi vya sasa na baadae pale viwanja vya jangwani ambapo wapenzi,wanachama na wanamabadiliko wote watafanya mkutano wa uzinduzi wakampeni za uchaguzi.Ukipita mitaa mbalimbali ya jiji na viunga vyake habari kubwa iliyotawala ni msisimko wa kushiliki tukio hilo LA kistoria ambalo ndilo linaenda kutoa rais wa nchi.
Vijana kwa wazee wameapa kuamka alfajili ili kuwahi nafasi kwa hofu ya kukosa nafasi kiwanjani hapo,ama hakika UKAWA NI TUMAINI LA WATANZANIA.
 
Ni hivi,sina adui mwingine ni ccm tu!!udini,ukabila,ukanda,uke na uume kwangu si kitu!oparation tokomeza CCM over!!
 
Nasikia Dr.Slaa naye ndani? Kama kweli basi Mimi kumi alfajiri nitadamka na wale wamama wa Ferry.......
 

Si ni bora waende leo mchana washinde huko na walale huko. Watu wengine bhana hata kushughulisha akiri kidogo kufikiri hamuwezi hapo mboe kashapiga pesa nyie mnabaki Lowasa lowasa.
 
Nasikia police wamewazuia CHADEMA kuweka jukwaa pale Jangwani, wanadai waenyeshe kibali cha UJENZl!
 
Naiweka kama nilivyotumiwa na Classmate wangu.


Wana 4U movement mkoa wa kilimanjaro kma ambavyotumekubaliana kwenye kikao chetu juu ya kwenda dar kwenye uzinduzi wa kampeni za lowassa tutaondoka moshi mjini saa 12 jioni
Tutaondokea Mekuz na viongozi wa msafara watakuwa makamanda wetu fredi mushi na Paul matemu tuwah jamani
Tumeamua kuondoka mda huo ilitupite usiku kwa usiku wasione kma lowassa ametoa watu mikoani lkn pia tulishakubaliana tutampa kila mtu nauli yake ya daladala ilituingie jangwani kwa daladala kuwaaminisha watu kuwa tumekwenda kwa mapenzi yetu. Msisahau majina ya hoter zenu mtakazofikia ukisahau wasiliana na mratibu wako.
Maelekezo mengine mtapewa na viongozi wenu


By Dr Juma Mwininga
Mratibu Mpya Wa 4U movement na Team lowasa Kitaifa
 
Si ni bora waende leo mchana washinde huko na walale huko. Watu wengine bhana hata kushughulisha akiri kidogo kufikiri hamuwezi hapo mboe kashapiga pesa nyie mnabaki Lowasa lowasa.

Umerogwa wewe cyo bure.
 
Weep Not child,naona unatoa povu mchanganyiko la omo na jamaa,kifafa kibaya sana na mwaka huu mtanyooka tu nyambaf zenu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…