Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Few hours ago, workers working on building UKAWA STAGE For Tomorrow Official Campaign Launch were banned to Continue their work by Police Force. News trending social media said, Police enquired them to hand over their Construction Permit otherwise they wont have a chance to Continue their work.

Well am not much into Politics but I kindly need to advice the Government that Not each and everything is bond in their Power some stuffs weight more than they can Imagine. All things that happening against UKAWA are indirect POSITIVE CAMPAIGN And probably the ruling party might loose their honest voters who would be victim of sympathy to the Opposition. Well am sorry If my am wrong but I SUPPORT LOWASSA, CHADEMA AND UKAWA Is My Strongest Pillar.

*PS Am sorry If I am poor in English, I had to use English to make sure the whole world get attention on Tanzania General Election 2015, a Country believed to be too democratic.

#Tanzania #UKAWA #teamlowasa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=lowasa]#lowasa 4president[/URL] #lowasa #CHADEMA #M4C #MovementForChange #26464 #255 #BreakingNews #BBC #CNN #Aljazeera #UnitedNation #Democracy #EastAfrica #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda
 
ID ipo kikampeni zaidi,! Hayo makundi uliyoyataja kweli yalikuwepo lakini kwa sasa hayao tena, wengi tumehamia chadema tena hata kabla lowassa hajafanya maamuzi ya kuhamia chadema!

Mimi ni mmoja wapo nilihama alivyokatwa tu dodoma
 
Kuna watu wanasema watalala jangwani hasa wa kutokea mikoani wanaoletwa na CHADEMA ambao CHADEMA haina pa kuwalaza kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni kesho.

Sina tatizo la wao kulala viwanjani hofu yangu umati mkubwa kulala pale kipindi hiki cha kipindupindu si sahihi kabisa.Pale hakuna huduma za kiafya za kueleweka.Hebu fikiria hayo mafuriko yatakayolala yaanze kuharisha kwa kipindupindu usiku halafu yaambukize kipindupindu kwa mafuriko yatakayokuwemo kesho ikiwa ni pamoja na mgombea uraisi na mgombea mwenza si itakuwa hatari jamani.

Nashauri serikali ipige marufuku umati kulala Jangwani leo.
Naona hofu imeanza kukupata. utakoma kulinga, Mwanza walilala uwanjani watu elfu nne.
 
Hahahahaha raha rahaaaaa mnooooo,nipo wami naitafuta Dar.

Mkuu uko wami unaenda wapi? Hukusikia jana Meck Sadiq kapiga marufuku wageni kuingia Dar kuanzia leo? Wageni wataruhusiwa kuanzia Jumapili!
 
Watakuwa wameshaambiana kuwa tayari limebuma tukutane sehemu ingine!
kwani kuna kosa gani wanamabadiliko katika vikundi mbalimbali (kn 4U, teamlowassa, teamukawa, teammabadiliko, m4c, nk) kutoka mikoani kuji-organize kuja kushiriki uzinduzi wa kampeni za UKAWA kitaifa ambao unafanyikia Dar? Achana fikira mgando/ujima za kiccm. Hakuna dhambi wala maadili au sheria iliyovunjwa. Ni haki yao kufanya hivyo na uamuzi muafaka. 4u katika kila mkoa msitishike wala kuwa na hofu. njooni Dar vifua mbele tena na t-shirt zenu.
 
Ukawa Wakatazwa kujenga Jukwaa Jangwani-Hii sasa Vita Police vs Ukawa

Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 , hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo. more news and pictures to come, stay tuned...
 
Nyie yatafuteni ya Libya tu,mmechoka na amani mnalszimisha mambo yasiyowezekana,subirini tu tufike tunakofika,ukawa iingie madarakani iboronge zaidi,maisha yawe full kichefuchefu,
 
aisee,hivi jumuiya za kimataifa zina-observe uhuni unaondeshwa na ccm?
 
Kwann CCM wanafanya haya? Ni kwa faida ya nani? What if 29/10 mshindi wa Urais atakuwa ni Lowassa, CCM watakubali kuachia ikulu ikiwa wanashindwa kuachia viwanja watu viwanja wafanye mikutano???

Haya yanazidi Watanzania waichkuie CCM zaidi na zaidi....

CCM is not playing fair game kabisa!

Asiekubali kushindwa sio mshindani wa kweli!
 
Mgombea urais atasimama kwenye stool watu watamshikilia asidondoke. Anashake hands
 
Naona CCM wameamua kutumia nguvu za giza kuizima UKAWA, hii mvua inatoka wapi tena? Ndio wale waganga toka Sumbawanga? Wameshashindwa
 
Kama kweli inachofanya kuhakikisha maandalizi hayakamiliki hadi kufikia kesho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom