Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Mapesa ya marehemu Gadafi sasa yamefukuliwa toka kwenye mahandaki nyumbani kwa Jack Gotham na Yale ya kwa Mbunge wa Mtama ili yatumike kumhujumu Lowasa binafsi pia Ukawa huku mapesa mengine yakielekezwa huko jimboni mtama kumsaidia Nape kufanikisha Goli la mkono kwa gharama zozote. Waganga wa kura la Aina wapo tayari Tanzania wanalipwa kwa hayo mapesa ya Gadafi, wananchi wa Libya waje kudai pesa na mali zao kabla hazijaleta maafa Tanzania kwani zinatumika vibaya kuhujumu Upinzani huku balozi wao akilalamika huko nyumba ya milele alikopelekwa kwa lazima ili kuficha ushahidi. Wapi ICC ebu wajulisheni waanzie hapa.
 
1.pombe mwisho kaunta.
2.bao la mkononi kapigie wapi?......
 
Lumumba tumbo joto. Linawasokota na kupishana msalani. Kesho ndio kesho yule asemae picha za kutengeneza ebu ajaribu Ata kujitoa ufahamu wapepese macho jangwa kesho washuhudie gharika la ukawa.

Mbunge wa Mtama yupo busy kwa waganga wanaroga ili watu wasije, inashangaza huyo jamaa anatumia nguvu nyingi sana kuihujumu Ukawa lakini tuna imani Mungu atawalinda Ukawa na yeye atashindwa na waganga wake kama alivyoshindwa dodoma licha ya kuambatana na waganga kibao toka gambia na msumbiji.
 
"lowasa zidisha kuongea kwa dakika kumi na tano tu- tulale vizuri leo"

"mbowe tugawie basi zile bilioni za lowasa"

"lowasa kwani unaumwa nini?"
 
Hiyo chuki yako kwa Ukristo imepitiliza, unatia aibu sana bibi mkubwa, kwani utaendelea kusononeka mpaka siku unaingia kaburini kwani wakristo , waislamu na wasio na dini wataendelea kuwepo hapa nchini la sivyo hama nchi hii.

achana nalo ilo linazeeka vibaya
 
pombe itamwagwa na makufuli waliyofungwa wanyonge /malofa yatafunguliwa
 
Kikwete vs Lowassa.. Nyie wengine nyasi tu.!
idawa mi mwenyewe ni follower wa Dr SLaa ila kwa huu uj!nga unaoendeleza wa kusapoti magamba itoshe sasa, kumbuka ni sisi tuliowananga walioondoka na zzk na tukaponda siasa za kufuata mtu. Niliudhika na nimeudhika na chama kumpuza Dr Slaa ila nikilichukulia kwa hasira itakuwa faida kwa ccm. Now nipo kundini ccm ing'oke mengine tuulizane baadae. Dr mwenyewe anataka ccm iondoke ndio maana hataki kuzungumza kupinga chama japo hajaridhika
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu mana hakuna hata uzi unaoelezea sera za Pombe akiwa mikoani, tunaskia tu kwamba yupo sumbawanga, mara mbeya ila hawaandiki humu anachokiongea huko. Wote sisi wana Ukawa na maccm tunamjadili Lowasa na Ukawa tu.

yaani ni ------- sana yaani ykiweka uzi wa lowassa lumumba wote wanaulimbilia ila ukiweka wa pombe hata page 5 hazifiki.

Lowasa apishwa tuu hakuna namna
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Nyie yatafuteni ya Libya tu,mmechoka na amani mnalszimisha mambo yasiyowezekana,subirini tu tufike tunakofika,ukawa iingie madarakani iboronge zaidi,maisha yawe full kichefuchefu,

Moja ya Pesa inayotumika kuihujumu Ukawa ni Pesa zao hao Walibya ambazo zilifichwa nyumbani kwa Mbunge wa mtama, ni wakati wa kuwahamasisha Ukawa wawaambie Walibya waje kumdai pesa na mali zao alizopora kinyama sasa anazitumia kuihujumu ukawa.
 
ngoja tusikie mashindano ya ushindani wa kwaya za kanisa

Bora kwaya za kanisani kuliko ile kanga moko mlio mchezea Mzee Ruksa na yule mama mcha Mungu. Dah! Mpaka Nape mwenyewe kampandisha midadi m/kiti wake akainuka kucheza donga. Aibu zingine jamani mzifiche kidogo. Mipaja utadhani sanamu la michelini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom