silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
ID ipo kikampeni zaidi,! Hayo makundi uliyoyataja kweli yalikuwepo lakini kwa sasa hayao tena, wengi tumehamia chadema tena hata kabla lowassa hajafanya maamuzi ya kuhamia chadema!
Naona hofu imeanza kukupata. utakoma kulinga, Mwanza walilala uwanjani watu elfu nne.Kuna watu wanasema watalala jangwani hasa wa kutokea mikoani wanaoletwa na CHADEMA ambao CHADEMA haina pa kuwalaza kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni kesho.
Sina tatizo la wao kulala viwanjani hofu yangu umati mkubwa kulala pale kipindi hiki cha kipindupindu si sahihi kabisa.Pale hakuna huduma za kiafya za kueleweka.Hebu fikiria hayo mafuriko yatakayolala yaanze kuharisha kwa kipindupindu usiku halafu yaambukize kipindupindu kwa mafuriko yatakayokuwemo kesho ikiwa ni pamoja na mgombea uraisi na mgombea mwenza si itakuwa hatari jamani.
Nashauri serikali ipige marufuku umati kulala Jangwani leo.
Hahahahaha raha rahaaaaa mnooooo,nipo wami naitafuta Dar.
kwani kuna kosa gani wanamabadiliko katika vikundi mbalimbali (kn 4U, teamlowassa, teamukawa, teammabadiliko, m4c, nk) kutoka mikoani kuji-organize kuja kushiriki uzinduzi wa kampeni za UKAWA kitaifa ambao unafanyikia Dar? Achana fikira mgando/ujima za kiccm. Hakuna dhambi wala maadili au sheria iliyovunjwa. Ni haki yao kufanya hivyo na uamuzi muafaka. 4u katika kila mkoa msitishike wala kuwa na hofu. njooni Dar vifua mbele tena na t-shirt zenu.Watakuwa wameshaambiana kuwa tayari limebuma tukutane sehemu ingine!
Kesho lazima nije na ma drum yangu ya mbege, naona wachaga wote watakuwepo hapo.
Hata kama wakimuandikia atakuwa anatetemeka mikono; afya zero kabisa