Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.

Pragiarism at work ....ila siku nyingine kumbuka kufanya acknowledgement.....
 
Nyie yatafuteni ya Libya tu,mmechoka na amani mnalszimisha mambo yasiyowezekana,subirini tu tufike tunakofika,ukawa iingie madarakani iboronge zaidi,maisha yawe full kichefuchefu,
Bora iwe hivyo kuliko ccm kuendelea kutawala milele. 54 good ***.en long years hakuna maendeleo hata rwanda wako mbele yetu alafu useme unaogopa ya libya. Sip ya libya tu sema ya syria
 
Kikwete vs Lowassa.. Nyie wengine nyasi tu.!
 
Tunasikitika kutakua hakuna umeme nchi nzima kwasababu ya hitirafu za kiufundi, kutakua na marekebisho makubwa ya Miundombinu ya umeme
 
We mjinga sana unaangalia muda badala ya kuangalia nini kimeongelewa.We ni mpuuzi sijui umekula maharage ya wapi.Angalia content sio muda uliotumika.
Kuhusu content sidhani kama atakuwa na jipya ewe ndugu mwerevu uliyegeuka kuwa mbumbumbu.Yawezekana unacheza ngoma usiyoijua, jaribu kutumia akili yako kufikiri sio wengine wafikiri kwa nafasi yako.
 
Hawataamini macho yao,mimi wapumbavu na malofa wote tutakuwepo toka saa moja asubuhi
 
nachukua fursa hii kuwakaribisha ndg Dr,Ghalib Bilal na ndg Proff Mark Mwandosya pale Jangwani siku ya kesho.
 

Hawawezi kuzuia mabadiliko mkuu, huu ni mwaka wa mabadiliko, labda wakate "JUA" lisitoe mwanga........
 
Miaka 54 ccm imeshindwa kuwapatia Watanzania maji safi na salama, takataka kila mahali, elimu ndiyo usiseme.
 
Mbona unalilia hivo, kwani wewe umejipangaje?
Unakaribishwa Jangwani upate neno la ukombozi, utajikuta na wewe unahamia Ukawa.
Najua unatamani ila moyoni unasema sizitaki mbichi hizi.
 
Wakati Kama Huu Waganga Wa Kienyeji Ndio Wanakuwa Na Biashala Maana Mwanasiasa Asie Na Yesu Bas Anamganga Wake Wa Kienyeji

Waziri wa mambo ya Nje kwa kutumia yale mapesa ya marehemu Gadafi, kawaleta waganga wa kienyeji kubao toka mataifa mbali mbali Duniani ili waje kuwaroga Ukawa huyo Waziri anamchukia Lowasa kuliko Nyoka, ina maana akitokea lowasa na Nyoka yeye yupo tayari kumteketeza Lowasa akamuacha Nyoka.
 
Reactions: G3T
wadau tayari nina tambaala kubwaaa,naomba msaada wa maneno mazuri ya kuyaandika kwenye hili bango,tayari kwaajili ya amsha amsha ya ukawa jangwani kesho
 
Duuh hiii kweri kali lkn msihofu nikipata nauli nitakuja tu mjombaa
 
Few hours ago, workers working on building UKAWA STAGE For Tomorrow Official Campaign Launch were banned to Continue their work by Police Force. News trending social media said, Police enquired them to hand over their Construction Permit otherwise they wont have a chance to Continue their work.

Well am not much into Politics but I kindly need to advice the Government that Not each and everything is bond in their Power some stuffs weight more than they can Imagine. All things that happening against UKAWA are indirect POSITIVE CAMPAIGN And probably the ruling party might loose their honest voters who would be victim of sympathy to the Opposition. Well am sorry If my am wrong but I SUPPORT LOWASSA, CHADEMA AND UKAWA Is My Strongest Pillar.

*PS Am sorry If I am poor in English, I had to use English to make sure the whole world get attention on Tanzania General Election 2015, a Country believed to be too democratic.

#Tanzania #UKAWA #teamlowasa
#lowasa #CHADEMA #M4C #MovementForChange #26464 #255 #BreakingNews #BBC #CNN #Aljazeera #UnitedNation #Democracy #EastAfrica #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…