Lumumba tumbo joto. Linawasokota na kupishana msalani. Kesho ndio kesho yule asemae picha za kutengeneza ebu ajaribu Ata kujitoa ufahamu wapepese macho jangwa kesho washuhudie gharika la ukawa.
Mkesha wa nini si mnatamba mmeshinda uchaguzi asubuhi kwanini msilale mwakwenu?
Hiyo chuki yako kwa Ukristo imepitiliza, unatia aibu sana bibi mkubwa, kwani utaendelea kusononeka mpaka siku unaingia kaburini kwani wakristo , waislamu na wasio na dini wataendelea kuwepo hapa nchini la sivyo hama nchi hii.
idawa mi mwenyewe ni follower wa Dr SLaa ila kwa huu uj!nga unaoendeleza wa kusapoti magamba itoshe sasa, kumbuka ni sisi tuliowananga walioondoka na zzk na tukaponda siasa za kufuata mtu. Niliudhika na nimeudhika na chama kumpuza Dr Slaa ila nikilichukulia kwa hasira itakuwa faida kwa ccm. Now nipo kundini ccm ing'oke mengine tuulizane baadae. Dr mwenyewe anataka ccm iondoke ndio maana hataki kuzungumza kupinga chama japo hajaridhikaKikwete vs Lowassa.. Nyie wengine nyasi tu.!
"lowasa zidisha kuongea kwa dakika kumi na tano tu- tulale vizuri leo"
"mbowe tugawie basi zile bilioni za lowasa"
"lowasa kwani unaumwa nini?"
ni kweli mkuu mana hakuna hata uzi unaoelezea sera za Pombe akiwa mikoani, tunaskia tu kwamba yupo sumbawanga, mara mbeya ila hawaandiki humu anachokiongea huko. Wote sisi wana Ukawa na maccm tunamjadili Lowasa na Ukawa tu.
Nyie yatafuteni ya Libya tu,mmechoka na amani mnalszimisha mambo yasiyowezekana,subirini tu tufike tunakofika,ukawa iingie madarakani iboronge zaidi,maisha yawe full kichefuchefu,
ngoja tusikie mashindano ya ushindani wa kwaya za kanisa