Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.

mwambie huyu marehemu mtarajiwa anasahau kifafa cha raisi wake anakuja kutapika ovyo. Amezeeka vibaya faiza, tho yupo kazini najua analipwa kusambaza uongo juu ya lowasa ila akumbuke hana bima yakuishi wenda akatangulia! Who knows???
 

Kova atapewa maelekezo, na atafanya kazi yake na baadae atatoa tamko.
 
Mkutano kesho, maandalizi mapema hivi!! Ccm watakima maana UKAWA hawanunui watu. Mr Presda anatajiwa aangalie live ili ajue sio picha za kutengeneza

We vipi? Tz nako kuna rais?, inchi hii inajiendesha yenyewe, kwani we huoni bwana.
 
Bhaaaaaaaaaas...mbna ka thread ka ule upand mwingne kame stuck???hapa ndo utajua kimwil wapo kule kiroho huku..#UKAWA
 
Msimamishe Lowassa aongee saa nzima kama Kikwete ujionee mambo, unafikiri Urais ni lelemama?

Hivi ubora wa kuongea unapimwa kwa muda au mada na mtiririko wa mawazo ktk kuongea??

JK anaweza maliza saa 2 ktk hotuba lakini hakuna cha maana na Obama anaweza ongea dakika 5 tu lakini akaongea mambo yenye mantiki.....
 
Hii itakua mara ya kwanza kwa lowassa kuhutubia zaidi ya watu mia.
 
Hivi kama UKAWA hiyo kesho pale Jangwani wakiamua kuwajibu CCM kwa kuzidisha muda wa kuzindua kampeni kama walivyofanya CCM last week na pia wakiamua kuwatolea CCM lugha za matusi na kejeli kama walivyofanya wao CCM kwa kuwaita watu wapumbavu na malofa said:
Watagongwa na kitu chenye Ncha kali na pengo lao halitazibika. Tutakachosema ni SISI TULIWAPENDA LAKINI ---------- KAWAPENDA ZAIDI
 
Rahaaaaaaaaa sana kuwa ukawa ninapiga king ombati zangu nimenunuwa pesa kibao leo siyo za mirangi ya kijani ya ccm!
 
Msimamishe Lowassa aongee saa nzima kama Kikwete ujionee mambo, unafikiri Urais ni lelemama?
Kama una uzoefu wa kusimamisha wanaume tusaidie kumsimamisha walau kwa nusu saa tu halafu utupe matokeo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…