Mapema jana Ijumaa nilipiga simu nyumbani Kibirinzi, Chake Chake, Pemba, ili kuwapa hongera kwa kiwanja cha watoto kufunguliwa rasmi na Rais Dr Shein, mara nikapewa nizungumze nae rafiki yangu wa zamani ambae anaishi DSM kaenda nyumbani kwa weekend. La mwanzo nikamuuliza, je, umekimbia GHARIKA ya kesho (yaani leo Jumaamosi) huko Jangwani? Akaniambia kuwa .sio gharika, sio mafuriko na wala sio sunami, bali itakuwa ni KIAMA hio kesho huko Jangwani, kwani watu mara 5 ya wale waliofika kwenye ufunguzi wa kampeni ya CCM wanategemewa kufika. Nilikata simu hapo hapo na kuanza kufikiria huyu Lowassa anakitu gani cha zaidi cha kuwavutia wananchi kama hivi? Najua jibu nitalipata hio tarehe 25 October, 2015 na kwa sasa msinijibu kitu!
Hakika UKAWA ni mpango wa Mungu
Kumbe na ww kiazi huna point...nmesomaaaaaaa nkijua utakuwa umeongea kitu kumbe utumbo mtupu jipange hapo umeongea usingizi tuu
Yaani lowassa sijui huwa nini kinamkuta. Mnajiandaa sana halafu akija hamna anachoongea cha maana mpaka mkutano unaisha.
Sisi tunakesha kwa kile Magufuli anavyotufanyia vizuti tupo bar
Hahahaaaaa
Mmh,Tulikuwa na Rais muongeaji mzuri sana kwa miaka 10,ametusaidia nini kama Taifa pamoja na "kuongea kwake cha maana" .Safari hii tunataka hata bubu bali awe mtendaji period.
Chama cha Wachaga
Chama cha Wachaga
Oh..i knew it! I knew someone was gonna start this thread at mid sharp! Ok, i'm just passing by..i wanted to prove my hypothesis..
But..don't you guys sleep?
Acha kujidharirisha we gamba,unafikiri UKAWA Hawana jipya kama msivyo na jipya nyie magamba? Halafu huyo anayeongea sana kakata pumziKuhusu content sidhani kama atakuwa na jipya ewe ndugu mwerevu uliyegeuka kuwa mbumbumbu.Yawezekana unacheza ngoma usiyoijua, jaribu kutumia akili yako kufikiri sio wengine wafikiri kwa nafasi yako.
Wewe Ajuza unafikiri hapa utapata kijana wa kukutoa ukame? Hakuna mipini ya kuchezea