Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Update ziwe na picha wakuu
 
Last edited by a moderator:
Leo ccm lazima walale mapema maana watakuwa na maumivu ya kichwa si haba.
 
Ndio naingia Kwenye viwanja vya Jangwani sasa, yani ni kazi kupata mahali pa kupaki gari yangu. Watu ni wengi sana na ninaona mabango kila kona "ULIPO TUPO"

Kweli saa ya ukombozi ni sasa, sijui hii nyomi ilianza kuingia hapa muda gani? maana sasa ni mishale ya saa moja asubuhi na uwanja umejaa.
 
On my way toka Kigamboni niwahi mapema kabisa maana hawachelewi kusema pantoni lipo service leo.UKAWA njia nyeupe ikulu.
 
hamna aibu kumnadi huyo bwana?. Mbona aibu...kubwa la mafisadi
 
Kufuli lazima ajitoe kwenye kinyang'anyiro otherwise ulinzi uongezwe kwake asije akakimbia
 

tunakushukuru mkuu vip wanga hawajasumbua usiku?
 
Last edited by a moderator:
Leo ndio leo asiye na mwana abebe jiwe!
 
Nlivyosikia wanaedit picha nlijua wanasingiziwa .....kumbe kweli. Shikamoo baba Kikwete

Huo ndio ukweli fikiria kama tungekuwa hatuna mitandao na uwezo wa kuhakiki taarifa si tungedhani hili ni nyomi la ukweli. Aibu zao mabingwa wa kuunganisha na ku edit picha. Na ukiona wakati mwingine nyomi jua kuna uwezekano kulikuwa na chopper inaambaa hewani watu wanatoka kuangalia chopper. Lol. Sio kila.mkusanyiko ni nyomi la kisiasa. Waache kutumia mob psychology kama kiashiria cha ushindi.
 
Mimi nipo huku Karatu nasikia leo mgombea wetu anafumua ufisadi wa serikali.

Kweli huu ni wakati wa mabadiliko, hatimae na ww umehamia UKAWA na unajua km serikali ya CCM ni ya kifisadi....karibu sana mkuu Ritz!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…