Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.

Mmmmh! Nipo Segela nakuja kwenye kutano
 

Vipi hao Polisi wana Kibali cha kuzuia Ujenzi?
 
ccm toka wamalize mkutano wao jangwani wamekuwa na utaratibu wa kutukatia umeme

Na hili wanalifanya makusudi ili 29/08/2015 jumamosi wakate umeme ili ionekane sio wao

Tunawaomba tanesco mtende mema sawaswa na mlivyowafanyia ccm tunahitaji kumsikiliza mzee Lowasa na tunaipend ukawa kwa kuwa ndio mbadala wetu

Yeyote atakae shiriki kuwahujumu ukawa kwa kukata umeme kisa tu roho mbaya basi mabaya yampate
 
Kwani kibali ni bei gani?inamaana LOWASSA hana pesa ya kulipia kibali au ni kutafuta maneno na sheria ya nchi!!
 
waseme wasemavyo lakini ukweli utabaki kuwa palepale nina hamu ya kuona huo moto wa kesho hadi na presda ashtuke
:A S 41:
 
Huu ni upuuzi, suhenzi na ushetani wa hali ya juu, Watanzania tuungane kwa pamoja kuupinga ujinga huu wa kitoto sasa.
MANI unaona huu ujinga wa CCM??
 
Last edited by a moderator:
hizi taarifa kuwa wamezuliwa na polisccm kuendelea na ujenzi wa majukwaa ni kweli??
 
Tatizo lenu mna midadi mkijambishwa kidogo mnaruka sana. Ila mkumbuke sikio halizidi kichwa
 
Kibonzo cha leo
 

Attachments

  • 1440746274204.jpg
    29.1 KB · Views: 864

Yaani, wanakibali cha kufanya mkutano Jangwani ila hawana kibali cha jukwaa hapo hapo Jangwani!


Hahaha Tanzania bwana!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…