Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Hii mvua vipi ndo uchawi wa mafisiemu????hata lishuke gharika lazima twendee
 

Habari za uhakika zinadai kuwa mgombea wa upande wa pili yupo hospital ya rufaa Mbeya baada ya kuugua ghafla akihutubia Mkutano wa campaign...bila shaka Itakuwa ni pressure kutokana na tukio hili la leo la UKAWA!

Mungu ibariki Tanzania
 
Hii ndio hali inayoendelea Kimara vijana wa Chadema wameanza kusombwa wakajaze jangwani

 
Kweli huu ni wakati wa mabadiliko, hatimae na ww umehamia UKAWA na unajua km serikali ya CCM ni ya kifisadi....karibu sana mkuu Ritz!

Huyo ni mnafki wa kutupwa hana lolote anaweweseka tu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Tulikuwa na Rais muongeaji mzuri sana kwa miaka 10,ametusaidia nini kama Taifa pamoja na "kuongea kwake cha maana" .Safari hii tunataka hata bubu bali awe mtendaji period.

You said it all mkuu!
Wanachojua ni kuchonga genga na taarabu! Utendaji Z
 



Hakika kama umeshafika naamini kazi imeivaaaaaaa!

Viva UKAWA!!!!
 

Jamaniiiiiiii! Sasa mimi nataka kuja saa 7 nitapata nafasi kweli?
Hebu tupiamo na kapicha mkuu nione hali ikoje.
 
Daah. Kwetu malofa na wapumbavu wa kagera umeme umechukuliwa toka saa 11 alfajiri.Werevu wameshachukua umeme wao.Sijui werevu wenzao kama wamewagawia generator au wans uhakika nao kwamba kila mmoja ana solar panel.

haa haa na wakati huo huo ccm inawaomba kura zenu
 
Jografia ulipata ngapi? Maana hujui hata kuangalia kivuli cha picha na ukatambua ilipigwa muda gani.
 
Habari za uhakika zinadai kuwa mgombea wa upande wa pili yupo hospital ya rufaa Mbeya baada ya kuugua ghafla akihutubia Mkutano wa campaign...bila shaka Itakuwa ni pressure kutokana na tukio hili la leo la UKAWA!

Mungu ibariki Tanzania

Mbona bado? Ikifika jioni nadhani zile 'battery' zitakua hazifanyi kazi tena.
Heheheee, inahuzunisha na kuchekesha pia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…