Makamanda naona hii mvua neema leo hapa jangwani.
Ah hahahaaa mkuu hiyo picha uliyoweka nilikua sijaangalia vizuriKweli mmepata mafuriko huko sio mchezo. Na ukizoom hizo picha wahudhuriaji ndo kama hawa
weraaaaa weraaaaaa
natokea mbezi ya kimara hapa tupo 30 tunaongezekea njiani tuuu