magufuliforpresident
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 159
- 59
Hii sasa kashfa, yaani ka-thread ka Magufuli na mwenzake nchi nzima kana page 62 tu lakini thread ya UKAWA kuanzia jana tu ina page 57! Tukiipa wiki kama ya Magufuli itakuwa na page 300! Hii ni ishara ya kukubalika kwa UKAWA!
Mkuu uku shida iliyopo mpka sasa hiv uwanja wa jangwan umejaaa balaaaaa watu wameomba wafungiwe spika kariakoo ili waskilize wakiwa uko hatariii
Chama gani gwiji?
Lowassa hatumchaguwi hata mseme nini.
Wataomchaguwa wachagga aliowanunuwa na wale ma Ku Klux Klan wa Tanzania.
Kwa mtaji mlionao wa Kingunge ambaye ni mwakilishi wa waganga, Jina lipitalo majina yote mtalipata wapi?Wakati Kama Huu Waganga Wa Kienyeji Ndio Wanakuwa Na Biashala Maana Mwanasiasa Asie Na Yesu Bas Anamganga Wake Wa Kienyeji
Huu mwaka ni wa mabadiliko. Hakuna namna CCM wanaweza kuyazuia. Wanamuomba Rais Lowassa eti iundwe serikali ya mseto. Lowassa kawachomolea!