Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

Hamna cha maandamano pale.

Nikichoona ni kina mama wa uswahilini waliobeba watoto vikundi vya Ngoma na tarumbeta na boda boda.

Hawafiki hata watu 300.

Usanii mtupu.

Chadema mnatia aibu.
 
KWANINI MKUU UMEONGEA HILO
Mkuu hakuna mbunge nchi hii anazalishwa na kuteuliwa na Bunge (Spika). BAWACHA wanafanya mambo kinyume na maumbile sijui kwa vile itikadi ya CHADEMA ni pamoja na kuuunga , kutetea na kulinda maslahi ya ushoga kama liberal parties zote duniani
 
Polisi wanasindikiza maandamano ya chadema??!!! Kweli nchi imefunguka....#amelalayoo
Ni kwa kuwa hayagusi maslahi ya watawala, hiyo topic nyepesi ina shida gani kwa mtawala? jichanganyeni kupick topic tata, ama siku kaja Kamala Harris mngeandamana ndo mngejua haijalishi amelalayoooo ama nini,
 
Hamna cha maandamano pale.

Nikichoona ni kina mama wa uswahilini waliobeba watoto vikundi vya Ngoma na tarumbeta na boda boda.

Hawafiki hata watu 300.

Usanii mtupu.

Chadema mnatia aibu.
Maandamano unatafsiri kama ni nini?Ulihitaji wawe wangapi?Na kama umeona si maandamano na wala si CDM,haohao CDM wamekutia aibu kuhusu kitu gani?
 
Tusisahau maridhiano ndio yameleta hayo maandamano, yasipuuzwe na yeyote, mahali popote.

Wakati ule ilikuwa wakijaribu kuandamana wanaambiwa nitawatandika mpaka shangazi zenu na hakuna aliyenyanyua mguu!.

Dua ikapigwa cooner akaja akashindwa kumtandika akasepa nayo six feet below
 
1:Samia anajua siasa kuliko watangulizi wake wote.
2:Magufuli hakujua siasa kuliko watangulizi wake wote.
Samia angekuwa anafanya hizi siasa halafu akawa anawabana wale mafisadi,upinzani ungekuwa taabani.
 
Back
Top Bottom