Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

Kwa huyu Mama C.Ruge...Bawacha Mtasimama....Ni jabari...Alishinda kwa kura nyingi mno Ubunge-2020 Jimbo la Serengeti...Ila basi tu ....Uzuri nilikuwepo pia...Ni dude kubwa..All the bests kwake
 
Hamna cha maandamano pale.

Nikichoona ni kina mama wa uswahilini waliobeba watoto vikundi vya Ngoma na tarumbeta na boda boda.

Hawafiki hata watu 300.

Usanii mtupu.

Chadema mnatia aibu.
Mkuu linda heshima yako, hii ni push back na haihitaji umati wa watu, nenda pale kwenye nchi za Scandinavian kuna sanamu ya mwanamke yupo juu ya farasi, huyu aliandamana pekee kupinga ongezeko la kodi kwa wakazi wa mji ule!,heshima ipo hadi leo na kuonyesha respect kwake wakazi wote walijipanga barabara kuu aliyopita na wote waliinamisha vichwa vyao chini, middle class wa kitanzania mmejaa woga wa kizuzu na kulalama kibao humu
 
Maandamano hayapaswi kuwa vile mkuu.

Ni kitu kinaonekana maigizo tu.

Maandamano yakweli hayahitaji boda boda na vikundi vya Ngoma.

Kuna tofauti ya ulichokiandika na kilichofanyika Leo na Chadema.
 
Maandamano hayapaswi kuwa vile mkuu.

Ni kitu kinaonekana maigizo tu.

Maandamano yakweli hayahitaji boda boda na vikundi vya Ngoma.

Kuna tofauti ya ulichokiandika na kilichofanyika Leo na Chadema.
Nionyeshe wewe hayo maandamano unayosema ni maandamano, ushujaa mbele ya hizi key boards, wale wamethubutu kutoka mitaani!,endeleeni kulalama humu na viajira uchwara wakati push back ni zero
 
..muhimu ni UJUMBE ulioko kwenye mabango.

..haswa ujumbe ulioelekezwa kwa RAISI.
 
Maridhiano gani wakati Samia anakanyaga Katiba?

Tunajua Mahakama zetu zinaendeshwa kwa utashi wa Viongozi wa Siasa,hao Wasichana waondoke Bungeni.

Mama fuata utawala wa Katiba na Sheria.
 
Fv05DRvXsAAQDEX

Sina tatizo na uwezo wa WANACHADEMA kufikiri ila nina mashaka makubwa sana na namna wanavyotumia uwezo wao kufikiri; kwa ujumla wanawaza tu hawafikiri hata kidogo
Tatizo lako huna akili.
 
Tusisahau maridhiano ndio yameleta hayo maandamano, yasipuuzwe na yeyote, mahali popote.

Wakati ule ilikuwa wakijaribu kuandamana wanaambiwa nitawatandika mpaka shangazi zenu na hakuna aliyenyanyua mguu!.
Kweli, yule katili alikuwa muuaji.

Hongera kwa mh Samia!
 
Back
Top Bottom