Maandamano makubwa nchini yananukia...

Wakina Mange ndio wanakuja kuchukua nafasi za G55 Sasa. Chama kitakuwa moto balaaπŸ˜„
 
Subiri uuone mziki wake coming this October
Sawa. Chadema kutishia kukiwasha miezi kabla ni jambo la kawaida labda kama wewe ni mgeni humu. Ishu ni D - Day ikifika. Hakuna anayeonekana zaidi ya mitandaoni! Ahahahahaha!
I don't expect the difference this time.
 
Habemus papam!
Habemus papam!!
Habemus papam!!!
 
Hao waandamanaji mtawaleta kutoka nchi gani?
 
 
Ni jambo njema na lenye heri kubwa sana, Taifa letu kuwa na katiba mpya, tume huru ya uchanguzi na mabadiliko mbalimbali ya uchanguzi.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Kuhusu maandamano ya amani ni jambo njema,
Je waandaaji wa maandamano ni vyama vyetu vya kisiasa au ni Deep State?
 
Hiyo siku wanajeshi watakua wanafanya usafi mitaani alafu polisi watakua wanatembea na magari na mbwa barabarani
 
Damu za watu alizokunywa zitamuandama maisha yake yote, na kizazi chake chote
 
HAKUNA PAKA, PANYA WALA MENDE WA KUANDAMANA, IKIBIDI SISI POLISI WASTAAFU TUTARUDI KAZINI, NYAMBAF ZENU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…