Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

Hawakujua kuwa kuruhusu vibaka wachukue nchi kupitia wizi wa kura kuna gharama yake?

Acha wapigwe mbele na nyuma(maji na umeme)ili wajifunze kutetea demokrasia.
 
Haya maandamano ni ya msingi, yakifanyika mimi nitakuwa msitari wa mbele. Nimechoka kunuka!
Watu tunanuka njiani, kuoga ni kwa nadra!. Sasa maisha gani haya!
Namkumbusha tu Lissu aliwahi kuitisha maandamano na siku ilipofika alikuwa wa Kwanza kuingia mitini.
 
Wako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
Hivi nani kuwadanganya kuwa serikali inaweza kuliendesha shirika la ndege?

Biashara ya ndege imewashinda mataifa yenye uwezo na ushawishi mkubwa wa kibiashara.
 
Unazungumzia Watanzania sisi au "wa kufikirika"?

Unadhani kuna mtu ataenda kuandamana akiona FFU wenye mitutu na maji ya kuwasha na wajeda wakiwa barabarani "wanafanya usafi"? Labda Tz ingine !!
Wewe endelea kuishi misituni tu
 
Salamu zangu za lawama zimwendee raisi anaefuga uozo na hajawai kuongea chochote kwa upuuzi unaondelea so sad anasafiri sana na kuacha wananchi masononeko,,,
 
Ole wenu narudia ole wenu!
Wana daslam Naona mnacheza na moto Kwa kuleta chokochoko na vile maji hakuna mtaungua bila vipoozeo!
(In kamanda mroto voices)
😁😁😁😁
 
Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.

Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kwani Chifu Hangaya amesharudi matembezini Misri? Ujue Jiwe kanuna vibaya huko motoni alipo!
 
Back
Top Bottom