Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

Unazungumzia Watanzania sisi au "wa kufikirika"?

Unadhani kuna mtu ataenda kuandamana akiona FFU wenye mitutu na maji ya kuwasha na wajeda wakiwa barabarani "wanafanya usafi"? Labda Tz ingine !!mt
Kila mtanzania aliyezaliwa na mama wa Tanzania ni makondoo tu. sisi sote tunaingizwa zizini na mbwa mdogo asiyeng'ata ila anatukusanya tu. Subiri Tanzania ya baada ya miaka hamsini. Mpaka makondoo sote tufe tuishe. Period.
 
Yaani watu wanashindwa hata kuenjoy tendo la ndoa sababu hakuna maji ya kuoga janaba.

Hii nchi imekuwaje mbona imekuwa ya hovyo sana?
 
Kwenye ishu ya Maji, FFU watageuka kama sisimizi siku hiyo.
Tofautisha madai ya kisiasa na yale basic need. Wananchi wengi hawajui au kujali mbo ya kisiasa, lakini yale ya Basic need kama Maji, utawashangaa watakavyogeuka na kuwa watu hatari
Acha uongo
 
Kuna mzee mmoja mmarekani nilikutana nae last month ni millionaire in USD ila anashinda sana TZ, katika maongezi alisema bongo bado fursa zipo kwenye madini, maji na teknolojia.
 
Kuna mzee mmoja mmarekani nilikutana nae last month ni millionaire in USD ila anashinda sana TZ, katika maongezi alisema bongo bado fursa zipo kwenye madini, maji na teknolojia.
Mimi ni mtaalamu wa ujasiriamali(Entrepreneurship specialist) asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yako(yoyote ile) ni wewe mwenyewe lakini cha ajabu asilimia 20% ina nguvu hata ya kuiua biashara kwenye hiyo asilimia 20% serikali ndiyo inaongoza lakini hawawezi kukubali,serikali ni adui namba moja ,namba mbiili ni wananchi kwa elimu yao ,ukabila,itikadi ,kipato chao,shuguli zao na tabia namna wanavyo kabiliana na maisha yao (social -demographic variables) na magonjwa ya mlipuko kama uviko-19(disease outbreak) ambacho ndiyo kisingizio ukweli nikwamba uchumi huyumba kutokana Sera mbovu ambazo hazina mwelekeo (zinazo badilika badilika)
 
Tofautisha madai ya kisiasa kama vile demokrasia na madai ya uhai, maji ni uhai. Ukiwa na kiu kimekukaba hayo maji utayafuata hata kambini kwa FFU na hutojali virungu wala bunduki zao
Ni wageni hao tz au. Miaka ya 90 kulikuwa na mgao huu wa Sasa mbona cha mtoto kabisa. Now kuna hadi visima hata kama ya chumvi but yapo. Watulie tu Tunajenga uchumi Kwanza maji yatasubiri ingawa tunazungukwa na Water bodies kila kona ya nchi...... Ila. Kiukweli hii nchi ni kama in laana vile.
 
Back
Top Bottom