balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Tuliamini na tuliikataa,mitano Tena akaforce king,tungefanya je?Mlipoambiwa CCM ni Ile Ile hamkuamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliamini na tuliikataa,mitano Tena akaforce king,tungefanya je?Mlipoambiwa CCM ni Ile Ile hamkuamini?
Muongo kabisa tena ulipoweka Katiba Mpya ndiyo umezidi kuharibu zaidi.Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.
Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu maradufu.
Wananchi wanasema, Wameivumilia serikali kwenye mambo mengi sana ikiwemo kuvuruga uchaguzi serikali za mitaa mwaka 2019, Kuvuruga uchaguzi mkuu, Kuwatoza tozo kubwa, Ukatili wa kisiasa, Kuendesha zoezi la wamachinga kihuni. Sasa wanasema hili suala la Maji limewafika shingoni hali ni mbaya.
Inadaiwa Wananchi wanazungumza uwezekano wa kufanya maandamano makubwa ya kudai maji nchini.
Wananchi wanakumbushia kuwa kwenye rasimu ya Warioba MAJI ILIKUWA NI HAKI YA MSINGI ya mwananchi, wanasema kuwa kukataa katiba mpya maana yake ni kukataa wananchi wasipate hayo maji.
Katika mazungumzo yao, wananchi wanasema wanahitaji majibu ya suala la maji haraka sana la sivyo watatoka barabarani na ndoo za maji na magudulia ikiwa ni ishara ya kuonyesha kudai maji!
Wazazi wanalalamika watoto wanaenda shule bila kuoga, Watu wanalalamika wanashindwa kujisitiri chooni vyema sababu ya maji. Watu wanahoji hii nchi ni nchi ya namna gani?
Wakati huo wanahoji, Inakuwaje serikali inatumia matrilioni ya hela kununua ndege halafu inashindwa kujenga miundo mbinu bora ya maji kwa ajili ya jiji la watu milioni 8?
Haya mdogomdogo tutafika. Serikali ijiabdae kwa majibu, Mabomu ya machozi, virungu na bunduki havitoweza kuzuia watu wenye kiu!
10% ya kwenye maji ni ndogo sana , haifanani na 1% ya kwenye ndegeWako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
Hivi uwanja wa ndege wa kwenu Chato bado unatumika ?Ubinafsi umewajaa hadi wamesahau huduma za kilazima kwa jamii.
[emoji38][emoji38][emoji38]Mada imehamishwa Jukwaa!
Eti hizi ndizo akili za Chadema!! Chama kimeishiwa mikakati mpaka kinatia huruma. Haya itisha maandamano hayo tuone kama utapata hata watu 10.Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.
Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu maradufu.
Wananchi wanasema, Wameivumilia serikali kwenye mambo mengi sana ikiwemo kuvuruga uchaguzi serikali za mitaa mwaka 2019, Kuvuruga uchaguzi mkuu, Kuwatoza tozo kubwa, Ukatili wa kisiasa, Kuendesha zoezi la wamachinga kihuni. Sasa wanasema hili suala la Maji limewafika shingoni hali ni mbaya.
Inadaiwa Wananchi wanazungumza uwezekano wa kufanya maandamano makubwa ya kudai maji nchini.
Wananchi wanakumbushia kuwa kwenye rasimu ya Warioba MAJI ILIKUWA NI HAKI YA MSINGI ya mwananchi, wanasema kuwa kukataa katiba mpya maana yake ni kukataa wananchi wasipate hayo maji.
Katika mazungumzo yao, wananchi wanasema wanahitaji majibu ya suala la maji haraka sana la sivyo watatoka barabarani na ndoo za maji na magudulia ikiwa ni ishara ya kuonyesha kudai maji!
Wazazi wanalalamika watoto wanaenda shule bila kuoga, Watu wanalalamika wanashindwa kujisitiri chooni vyema sababu ya maji. Watu wanahoji hii nchi ni nchi ya namna gani?
Wakati huo wanahoji, Inakuwaje serikali inatumia matrilioni ya hela kununua ndege halafu inashindwa kujenga miundo mbinu bora ya maji kwa ajili ya jiji la watu milioni 8?
Haya mdogomdogo tutafika. Serikali ijiabdae kwa majibu, Mabomu ya machozi, virungu na bunduki havitoweza kuzuia watu wenye kiu!
Haya maneno yamesha anza kurudi tena tulisha ya zoea kuya sikia kwenye serikal ya awam ya 4Miaka 60 ya Uhuru lakini hakuna maji wala Umeme?
Kweli?
Of all CCM, ni Jaji Warioba na Salim ndio watu bora laiti wangelikua ni marais wetu tungekua mbali sana. Achana na haya matakataka mengine kuanzia marehemu wao na waliopita na tuliyenaye. Wote hawa ni rubbish.Wako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
Hayo maandamano yakitokea hata polisi hawatatumia nguvu nyingi ksb wao wenyewe wanahitaji maji.Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.