Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

Hakuna shadow.
Kichapo kimekolea wacha kuwafariji ujinga.
Raia wa gaza hawana hamu na wanajuta kuwakubali Hamas kama viongozi wao
NB: AKILI ZA WAARABU NI KWAMBA WAYAHUDI HAWANA HAKI YA KUISHI KWENYE ARIDHI YA BABU ZAO NA HAWAJUI WAYAHUDI WAPO PALE MILELE NA MUNGU WAO YEHOVA.
AKILI ZA WAARABU WAISLAMU SOMA
QUR'AN 9:30
QUR'AN 22:19
 
Nchi Yyte Inayoungwa Mkono Na Hawa Lgbt Mmarekan Yuko Kwenye Upande Usio Sahihi Waisrael Sio Wakristo Hata Hivyo Idad Ya Wayahud Waislamu Ni Wengi Kuliko Wakristo Israel Hauhusiani Na Ukristo Naomba Wakristo Muelewe Hilo Maana Mmewangangania Sana Wayahud Wakat Wao Wanaamin Yesu Hajaja
 
Hakuna shadow.
Kichapo kimekolea wacha kuwafariji ujinga.
Raia wa gaza hawana hamu na wanajuta kuwakubali Hamas kama viongozi wao
NB: AKILI ZA WAARABU NI KWAMBA WAYAHUDI HAWANA HAKI YA KUISHI KWENYE ARIDHI YA BABU ZAO.
QUR'AN 9:30
QUR'AN 22:19
Babu yao yupi? Taifa lililoanzishwa mwaka 1948 ?
 
Waisrael hawana ardhi, pale walipo ni ardhi ya wapalestina
 

Nchi Yyte Inayoungwa Hawa Lgbt Mmarekan Yuko Kwenye Upande Usio Sahihi Waisrael Sio Wakristo Hata Hivyo Idad Ya Wayahud Waislamu Ni Wengi Kuliko Wakristo Israel Hauhusiani Na Ukristo Naomba Wakristo Muelewe Hilo Maana Mmewangangania Wakristo
Hakuna wayahudi (Waebrania) waislamu mpaka dunia inafika mwisho mkuu!!!!
Acha kujifariji.
Na wayahudi na wakrsto wanashea Mungu mmoja YEHOVA na hawatenganishwi na propaganda za Mungu wa kiarabu allah zilizofeli toka enzi za kuwachukia wayahudi.
NB : WAISLAMU ROHO INAWAUMA SANA WAKRSTO NA WAYAHUDI KUMUABUDU MUNGU MKUU WA KIYAHUDI YEHOVA
 
Inachotakiwa ni Israel iondoke kwenye ardhi ya wapalestina, hayo mambo ya mungu mkuu sijui yehova ni ujinga mtupu. Hakuna mtu anashida na huyo munvu wao
 
Inachotakiwa ni Israel iondoke kwenye ardhi ya wapalestina, hayo mambo ya mungu mkuu sijui yehova ni ujinga mtupu. Hakuna mtu anashida na huyo munvu wao
KILA SIKU WAISLAMU NA WAARABU WANAWAPIGIA MAGOTI WAKRSTO NA KUWAOMBA WAWASAIDIE KATIKA CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI
NB: WANASAHAU MUNGU WA WAKRSTO NDIO MUNGU WA WAYAHUDI YEHOVA MKUU.
 
Mi naomba kuuliza mkuu kama una abc za Gaza, hivi Gaza haina Serikali, Bunge, Jeshi wala Mahakama. Maana kila nikifuatilia naona Warabu toka nje ya Gaza ndio wanaoisaidia Gaza kwenye Vita toka miaka ya kale., japo kwa sas sijuwi kwa nin wamekuwa wazito kuisaidia.

Ina maana hao Hamas ndio wenye mamlaka ya kuiendesha Gaza, maana ukiangalia kwa kina Israel haiwezi kuwamaliza Hamas, maana wapo wengi wengine wanadhamin wakiwa nje ya Gaza. Na Israel anasema hataiachia Gaza ina maana ataimiliki kama alivyoimiliki West Bank.
 
Sasa saudia na Israel wapi kuna mashoga wengi mkuu
 
Hii ni sawa kabisa
Hakuna jamii ya watu duniani yenye haki ya kuifuta jamii nyingine juu ya uso wa nchi.
Wayahudi wamekuwa shabaha ya kufutwa na waarabu.
Hivyo wana haki ya kujilinda na kuhakikisha kila mwenye nia ya kuwafuta anafutika yeye.
Hata hivyo maandiko yanasema wavu waliouficha kwa siri maadui utawanasa wao na shimo walilochimba watatumbukia wao.
Hii ndio kanuni ya maumbile kwa haki ya malipizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekudharau Hujui Kitu Kumbe Hakuna Kitu Unachojua Jarbu Kusoma Iman Ya Wayahud Wanaamini Katika Mungu Mmoja Asiye Na Mtoto Hawaamin Katika Utatu Waisrael Wana Nn Mpaka Asipatkane Hata Mmoja Muislam Fatilia Vitu Ndo Ujibu Google Ipo Idad Ya Waislamu Israel Ni Weng Kuliko Wakristo Wayahud Kutokuwa Waislam Sis Haituumi Dini Yetu Inasema Hakuna Kulazimishana Katka Dini Tuna Uhakika Na Dini Yetu Pepo Itakuwa Na Watu Wachache
 
"Msulubisheee, Msulubisheee
Damu yake iwe juu yetu na watoto wetu"

Hivyo ndivyo "Taifa Teule" lilivyosema
Luka 24:25-26,46-47
[25]Akawaambia, Enyi msiofahamu, wenye mioyo mizito ya kuamini yote waliyoyasema manabii![26]Je! Haikumpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake?[46]Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu;
[47]na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…