Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

Waislam wame ng'ang'ania eti wayahudi hawautambui ukristo nikwel hawautambui Ila hiyo haiondoi ukweli kua Mungu ameagiza tuubariki uzao wa ibrahimu na pia atakae Ulaani atalaaniwa ndio maana tunasimama na Israel

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 
Magaidi kujilipua Sio wanapenda wao Chezea wote Wakina nabii issa, Muhammad, alah lakin SIYO YESU...kujilipua ni laana ya kujipunguza wenyew mdogo mdogo....YESU WANGU NA KUPENDA NA TAIFA LAKO LA ISRAEL NALIPENDA MPAKA MWISHO
 
Katika yale makabila 12 ya Israel wewe ni wa ukoo upi. Reuben, Simeon, Levi, Judah, Naphtali, Dan , Gadi, Isaachar, Joseph , Asher, Zebulun au Benjamin.
Maana unavyoguswa na wayahudi nadhani unalishinda hata tumbo la Mama Maria Mtakatifu.

NINAVYOKUONA WEWE PASIPO NA SHAKA LOLOTE WEWE NI MJUKUU WA SIMEON. .

Rangi yetu inaongoza kwa UJINGA
 
Nchi Yyte Inayoungwa Mkono Na Hawa Lgbt Mmarekan Yuko Kwenye Upande Usio Sahihi Waisrael Sio Wakristo Hata Hivyo Idad Ya Wayahud Waislamu Ni Wengi Kuliko Wakristo Israel Hauhusiani Na Ukristo Naomba Wakristo Muelewe Hilo Maana Mmewangangania Sana Wayahud Wakat Wao Wanaamin Yesu Hajaja
Wangangania= wang'ang'ania
 
Wanalia kuwapoteza watoto wao,wazee na wakina mama wasio na hatia

Shetani na nyie vibaraka wake mtashindwa tu.
Mazalia yote ya Magaidi na uzao wake lazima yateketezwe.
 
Katika yale makabila 12 ya Israel wewe ni wa ukoo upi. Reuben, Simeon, Levi, Judah, Naphtali, Dan , Gadi, Isaachar, Joseph , Asher, Zebulun au Benjamin.
Maana unavyoguswa na wayahudi nadhani unalishinda hata tumbo la Mama Maria Mtakatifu.

NINAVYOKUONA WEWE PASIPO NA SHAKA LOLOTE WEWE NI MJUKUU WA SIMEON. .

Rangi yetu inaongoza kwa UJINGA
Haya mkuresh. Rangi yako ya kiarabu koko hapo mchambawima ndio ina akili Sana.
 
Waislam wame ng'ang'ania eti wayahudi hawautambui ukristo nikwel hawautambui Ila hiyo haiondoi ukweli kua Mungu ameagiza tuubariki uzao wa ibrahimu na pia atakae Ulaani atalaaniwa ndio maana tunasimama na Israel

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app

Hakuna andiko linaloagiza kuubariki uzao wa Ibrahimu, ingekuwa rahisi kihivyo mgekuwa mnambariki Esau pia maana ni uzao wa Ibrahim.

Na mgekuwa mnaubariki uzao wa Ibrahimu basi mgembariki Ishmael maana ni first born wa Ibrahim ambaye Mungu alisema naye atambariki , atazaa Maseyyid 12
 
Ole wake atakayemsaliti mwana wa Adamu ni heri asingezaliwa!
Kitu kimoja kwako ambacho huwa nakifurahiaga saana na huwa natamani nikuone hivi kwa uso ili nishangae jinsi uumbaji wa Mungu alivyokusudia waja wake tuishi

Nafahamu fika, wewe ni Mwislamu
Nafahamu pia kuwa, kwenye siasa, wewe upo katika siasa za upinzani

Sifa yako kuu kwa mambo hayo yoote,, huwa hauegemei upande wowote! Penye kukemea, unakemea, haijalishi mapenzi yako kwa hicho!

Mawazo yangu, huu ndio uungwana haswaa, na watu kama nyinyi, ni watu mnaoishi kwa amani ya kweli, huna ubaya na mtu

Hongera sana mkuu
 
Asante sana ndugu yangu, hakika umenena vyema
Na ndiyo maana kwenye ishu ya IGA niliandika waraka wa kuwaomba mababa askofu watusaidie. Hii ni kwa heshima kubwa niliyonayo kwa watu wale wa Mungu na pia kutambua nguvu na influence waliyonayo katika jamii.
Sina nongwa, wala neno na mtu, napenda haki na sina ushabiki maandazi.
 
Back
Top Bottom