Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Umeandika vizuriWanabodi,
Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time.
Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha maandamano yao, waandamane kwa amani, na hata ikitokea wanataka kuandamana kwenda Ikulu, Rais Samia ayapokee tuu maandamano hayo kwa kutumia falsafayake ya 4R.
Maandamano ni haki za vyama vya siasa, this time waacheni CHADEMA waandamane.
Paskali.
Kumbe ukiandika kwa ufupi unaeleweka vizuri zaidi kuliko zile Makala zako ndefu Mkuu?!Wanabodi,
Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time.
Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha maandamano yao, waandamane kwa amani, na hata ikitokea wanataka kuandamana kwenda Ikulu, Rais Samia ayapokee tuu maandamano hayo kwa kutumia falsafayake ya 4R.
Maandamano ni haki za vyama vya siasa, this time waacheni CHADEMA waandamane.
Paskali.
Kwa sababu una muda wa kupoteza Unakaribishwa ni wewe na muda wako tu wa kupoteza!Niko najiandaa kutoka hapa Chato, niende Dar nikashiriki maandamano japokuwa mimi si mwanachama wa CHADEMA. Huwa simkubali Mbowe, ila kwa hili, nimeanza kujenga imani kwa CHADEMA na Mbowe.
Sina uhakika kama watani- disappoint this time
Niliwaza hilo jambo. Kisha wafanye kila mkoa.Wanajeshi wanatusafishia mtaa mkitangaza maandamano, kwanini kila mwezi msiyatangaze? Hamuoni fursa?
Siyo tu, this time. Everytime. Haki yetu haina this time.Wanabodi,
Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time.
Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha maandamano yao, waandamane kwa amani, na hata ikitokea wanataka kuandamana kwenda Ikulu, Rais Samia ayapokee tuu maandamano hayo kwa kutumia falsafayake ya 4R.
Maandamano ni haki za vyama vya siasa, this time waacheni CHADEMA waandamane.
Paskali.
Umesema ukweli Pascal. Nchi hii tumekuwa kichekesho kwa kuigiza demokrasia na viongozi watawala kufanya umafia usio na aibu kwa wapinzani. Tutaona kama kweli mama anamaanisha maridhiano na kama hizo 4R zina maana yoyote au ni umbea tu.Wanabodi,