Pre GE2025 Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
maigizo tu, hakuna kitu hapo, wote wamoja wametoka mbali, wote waislamu tu, wanazima umeme …
 
Paskal- usiwaamini CHADEMA na maandamo yao rejea kwenye mapinduzi ya Zanzibar- waunguja wale usiku walikuwa na maonyesho ya ngoma kilichotokea sasa. Kumbuka pia UMATI hauna HEKIMA (THE MOB DOES NOT THINK) rejea ya London 2011
 
Pia Wale wana harakati watambulike.
Kina Mdude, Mwakabusi, Dr. Slaa na wengineo wana malengo na hili Taifa.

CDF na mkuu wa Geshi la Mapolisi wetu Hawa jitokezeni mwafafanulie waTanzania hizi sintofahamu.
Wananchi wako na mashida nyingi ninyi mkikula na kuishi maisha nzuri na mishahara.

Huku nje watu ni mlo mmoja kwenda mbele! Na ndio maana familia nyi give zinakuwa na magombano hadi mauaji kutokelea.
 


Naunga mkono hasa ukizingatia maandamano haya ni kwa katiba na tume huru sio mambo ya kichama bali ni mambo ya kitaifa.

Maandamano ya katiba yapo nchi nyingi sio Tanzania pekee.

Majeshi yakitumika vibaya yanaweza kuwa mwanzo wa vurugu badala ya kulinda wananchi.

Ukweli ni kwamba mswada umekosewa na Raisi amekosea sana huwezi kupeleka mswada kama ule bungeni kama wapo serious
 
Kwamba ayapokee ikulu?? Izi nizile makalazako za kinafki 🤣
 
Asante sana kwa taarifa hii, tutashiriki kikamilifu.
Natoa pongezi zangu za dhati kwa Rais Samia, baada ya kuusoma ushauri huu Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu
Atakuwa amekubaliana na ushauri huu. Hivyo sasa wito wangu huu Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
Uendelee,

Haya shime, tujitokeze kwa wingi kushiriki maandamano muhimu sana haya.

P
 
Jisomee itakusaidia kwa namna moja au nyingine
 

Attachments

Ndiyo kilichotokea, kwa hili nawapongeza sn polisi
 
Hapa uliandika kama Paschal Mayalla na siyo njaa
 
Kwa Sasa CDM tunatumia akili mingi sana.

Ccm endeleeni kutumia maguvu kwa virungu na mabuti.
 
Safari hii watakoma maana tushajua wapi pa kupiga ngumi zetu
 
Serikali ya CCM ni waoga wa mabadiliko, hawawezi kukubali maandamano.
Kaka nguvu inqyotumiwa na CDM siyo mchezo bali ni akili kubwa.

Wao wanatumia polisi bali sisi ni bongo tu na mwisho wa siku wanlainika tu
 
Ushauri huu ni very valid kipindi hiki kuelekea maandamano ya Chadema
Sidhani kama POLISI itafanya vitendo vya kikatili kwa watu wanao andamana kwa amani kudao madai ya kutafutwa watekeji, kwakuwa hata hao POLISI ni Raia wa nchi pia wao hawapendi watu watekwe na kuuwa kwani baadhi ni ndugu zao rafiki zao majirani zao
Mkuu Jafe, Japhet gombe , ni kweli, na hii imewahi kutokea huko nyuma, Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa! na niliwahi kuwasisitiza hawa polisi wetu Ombi Muhimu Kwa Jeshi Letu La Polisi."Nyinyi ni Wenzetu, September Mosi, Please Msigeuke Makaburu!" na kwenye kusambaratisha maandamano kwa vurungu, mabomu ya machozi, maji ya washawasha na risasi za moto, nilishauri Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!
P
 
Ile kule thread nyingine unang'ata huku unapuliza. Kule upo against maandamano perse, huku upo reasonable 🤔
 

Attachments

  • 20240819_175052.jpg
    17.2 KB · Views: 1

Brilliant Pascal, hakika umetoa wito wenye ukweli na tija kwa taifa letu pia ni uhakiki halisi wa 4R
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…