Maandamano ya 7/7: Nani anaenda kuandamana (?)

Sasa miaka hii unataka kufananisha na zama hizo. Ccm bhana sijui kwanini wengi ni kama Lucas Mwashambwa
 
Kwa mtazamo wangu waliokua wanafanya uharibifu walipangwa ili kutoyapa uhalali maandamano
Yote yanawezekana.
Ila jamaa wanakete zao wanazitegemea sana.. ila hii ngoma bado inavuja damu kabisaa(mbichi)
 
Mkuu, mtu yeyote anayejifanya hajui kwa nini watu wanataka kuandama ni aidha ni mnufaika wa mfumo uliopo au hajitambui.
Hii bongo kabla ya kukomboa Nchi tunapaswa kukomboa mindsets za hawa watu maana wengi ni wapumbavu sana

Mtu asiyejua hata kifungu kimoja cha katiba yake ana uchungu gani na nchi yake, asiyejua fursa ziko wapi kutwa kucha yeye anapangusa kioo cha simu yake kuangalia video za vichekesho, mtu ambaye anakaa kusubiri "koneksheni" itoke, mtu ambaye maendeleo ya jamii yake ni kupitia tasnia ya muziki ambayo imejaa habari zisizokuwa na faida yoyote katika uhalisia
 
Tatizo ni wanaofanya hamasa,wanaochochea maandamano,wanakuwa wamemaliza kazi yao rasmi,wanatulia tu kimya kuona,matunda ya ushawishi yamevuna wajinga kiasi gani?,kila siku nitarudia kila wakati,maandamano yalifanywa na CUF Pekee,miaka Ile,viongozi wapo mbele ya msafara tena wameshikana mikono kwa nguvu kabisa kabisa hakuna kuachiana,
YALE NDIYO YALIKUWA MAANDAMANO,KWA SASA KUNA UJINGA TU, NDIYO MAANA SIWEZI KUSHIRIKI UPUMBAVU HUU....
 
Inabidi yule jamaa alitaka kuiba mbuzi akamatwe au sio!
 
Njia ya ukombozi siyo rahisi hivyo. Lazima wengine watakufa tu ila mwisho wa siku ukombozi utapatikana.
 
Unadhani hao wanaopanga maandamano wangekuwa nchini Serikali ingewafanyaje? Angalia ya Pole pole ndiyo utaelewa kama akili yako bado imelala
 
Maandamano ni kama hayapo, ni mambo ya mitandaoni tu ila serikali ndio inayakuza waziwazi kuwa kuna watu wataandamana na imedhamiria kupambana na waandamanaji hao kama watakaidi amri ya kupiga marufuku. Haijulikani kama kuna watu watajitokeza kufa kwenye maandamano hayo ya kibabe!, maana kuna vitisho vingi mpaka vya sheikh mwaipopo na kundi lake la mbwa mwitu wa kupambana na waandamanaji
 
Wewe Jamaa una udini sana. Unaweza kuwa uko smart sana upstairs lakini uislamu ukakupiga upofu na ukabaki kama kasongo tu
 
Nendeni mkafyekwe msije kuleta vilio tu.hata sisi wananchi tutawashikisha ajabu vibaka ninyi
 
Mkuu serikali yenye vyombo vya uchunguzi itumie rasilimali fedha kudhibiti tishio la maandamano lisilokuwepo? Ukiona reaction ujue tishio lipo, yasipotokea basi serikali imefanikiwa kudhibiti.
 
Inawezekana ikawa hivyo ila angalau hata tetesi zingekua zinaskika
 
Wewe Jamaa una udini sana. Unaweza kuwa uko smart sana upstairs lakini uislamu ukakupiga upofu na ukabaki kama kasongo tu
Sikuitaja CUF kwa minadhiri ya dini,hapana nimeitaja kwa aina ya ""UMOJA WAO KATIKA SUALA LA MAANDAMANO "" VIONGOZI NA WANACHAMA WALIKUWA BEGA KWA BEGA,KWA MIAKA HII,MTU ANAPIGA DOMO YUPO MAREKANI,WEHU HUKU WANAFYATUKA OVYO OVYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…