Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
1)Kuna Amani
2)kuna uhuru
hivyo vitu utaviona umhimu wake sehemu mbili tu
1)ukiwa jera
2)ukiwa inchi ya watu na huna passport
Wasomalia,Sudanese,Congo wanLijua vizuri sana Hili
Tusisahau jambo moja mfaransa kasogea hapa upenuni kenya west kafukuzwa ananjaa baraa