Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Wewe endelea KUTAMANI……….. wenzako wana fight for right zao.Nimeshaweka wazi kua natamani kuona wananchi tunaandamana ila kilicho tokea 29/10 hakikua tulichotakiwa kufanya na nina wasiwasi hata 7/7 bado sio wananchi wanaotaka kuandamana na hata kama itatokea basi haitoenda sawa kama inavyotakiwa kua. Hope nipo wrong
Ngoja nikufungue kidogo UBONGO wako.
Pale System inapokua corrupt kusimamia HAKI za msingi za Raia MOB JUSTICE ndio mkombozi pekee kwasababu sheria zote zimewekwa kukubana usifanye lolote uwezezeta ubaki KUTAMANI tu hali ibadilike
Ukitaka kujua System iko corrupt we nenda kItuo cha Polisi na uwaombe kibali cha kufanya maandamano ya AMANI kudai katiba mpya, uhuru wa kutoa maoni na uchaguzi huru na haki uone kama ndugu zako wataona hata mfupa wako tu…….. yaani utapotezwa kama mbu tu