Wewe endelea KUTAMANI……….. wenzako wana fight for right zao.Nimeshaweka wazi kua natamani kuona wananchi tunaandamana ila kilicho tokea 29/10 hakikua tulichotakiwa kufanya na nina wasiwasi hata 7/7 bado sio wananchi wanaotaka kuandamana na hata kama itatokea basi haitoenda sawa kama inavyotakiwa kua. Hope nipo wrong
Kumbe unajua TOFAUTI na bado unataka yawe kama ya Ulaya?Wanaopanga maandamano wote wako nje ya nchi, wote hawatakuwepo nchini hio siku,
Na hakuna hata mmoja anaejua chocho za miji ya bongo ili kama mkizuwia hii njia mpite njia mbabala
wao wako huko mitandaoni na vikao vyao kuhamsisha watu waandamane ndio maana 29/10 watu walikuwa hawajui nini cha kufanya matokeo yake wakaanza kufanya uharibifu na wizi
Maandamano huko ulaya huwa hayakatazwi bali wanaweza kuwazuia wapi wasiende na wapi yaishie na waandamanaji wanakuwa wamejipanga kama wakizuiwa njia fulani wanajua njia mbadala ni zipi, lakini bongo ni makelelele tu mitandaoni bila mpangilio wala uongozi.
Usikariri ndugu yangu, kila vita/ movement inafanywa kadili ya muda au nyakati. Pole pole alijaribu kurudi nchini kilichompata hata wewe hujui yuko wapi mpaka sasa. Hata nchi ambazo tulizisaidia kwenye harakati za ukombozi viongozi wao wengi walitoroka na kuja kujipanga kutokea kwetu. Sasa wewe unataka wakae hapa wauliwe wote au lengo lako ni nini?Sikuitaja CUF kwa minadhiri ya dini,hapana nimeitaja kwa aina ya ""UMOJA WAO KATIKA SUALA LA MAANDAMANO "" VIONGOZI NA WANACHAMA WALIKUWA BEGA KWA BEGA,KWA MIAKA HII,MTU ANAPIGA DOMO YUPO MAREKANI,WEHU HUKU WANAFYATUKA OVYO OVYO.
Testesi ndiyo mwanzo wa kujitia matatizoni. Wengi wao huwa wako kimya au kubadili mada pale likija swala la siasa. Tetesi au taarifa zinatoka humu. Nani mtaani kwa hali hii anaweza discuss ishu ya katiba mpya au matendo ya kutekana? Labda kama hajipendi maana watu wanawindwa kama mbwa mwituInawezekana ikawa hivyo ila angalau hata tetesi zingekua zinaskika
Ulielewa ulichoulizwa?Hilo liko wazi.
Binafsi mwanzo nilifurahia sana kuona hatimae Watanzania tumeamka, ila badae nikagundua hamna tulichofanya zaidi ya kufeli.
R.I.P kwa walio poteza maisha. Nawapa sana pole walioondokewa na wapendwa wao na nawalaani na kuwaombea mabaya sana wote waliohusika kutekeleza kile kitu
Unaweza kukaa nje ya nchi mbali na familia yako, baba yako, mama yako, wajomba zako, shangazi zako, rafiki zako. Hata ukisikia ndugu yako wa damu kafiriki uwezo wa kurudi huna kwa sababu serikali yako inakuwinda ikumalize, unaweza?Wanaopanga maandamano wote wako nje ya nchi, wote hawatakuwepo nchini hio siku,
Na hakuna hata mmoja anaejua chocho za miji ya bongo ili kama mkizuwia hii njia mpite njia mbabala
wao wako huko mitandaoni na vikao vyao kuhamsisha watu waandamane ndio maana 29/10 watu walikuwa hawajui nini cha kufanya matokeo yake wakaanza kufanya uharibifu na wizi
Maandamano huko ulaya huwa hayakatazwi bali wanaweza kuwazuia wapi wasiende na wapi yaishie na waandamanaji wanakuwa wamejipanga kama wakizuiwa njia fulani wanajua njia mbadala ni zipi, lakini bongo ni makelelele tu mitandaoni bila mpangilio wala uongozi.
Hata kama vijana wasingeiba au kuharibu vitu jamaa wangeuwa na wanggezuia tena wakati mwingine kuandamana kama sasa.29-10 lilifanywa kosa kubwa baada ya waandamanaji kuendekeza njaa na kuanza kuiba na kuharibu badala ya kupeleka ujumbe,, jamaa wananjia 1,000,000 za kuyazuia maandamano kwa sasa.
Serekali imeharibu sana kiasi cha kutilia maanani rumours zozote.Itajulikana hiyo siku atakayeenda
So far ni kweli wengi hawana hizo ratiba japokuwa serikali naona inajiandaa kisaikolojia
CUF Walikaa hapa hapa!,kwani Tanzania inapigania uhuru?Usikariri ndugu yangu, kila vita/ movement inafanywa kadili ya muda au nyakati. Pole pole alijaribu kurudi nchini kilichompata hata wewe hujui yuko wapi mpaka sasa. Hata nchi ambazo tulizisaidia kwenye harakati za ukombozi viongozi wao wengi walitoroka na kuja kujipanga kutokea kwetu. Sasa wewe unataka wakae hapa wauliwe wote au lengo lako ni nini?
Maria sarungi anaandamana huko fesbukNikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.
Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari kufanya hivyo kwa sasa, hasa hii 7/7.
Naona kama wananchi mtaani hawana habari na hili jambo na hamasa yote inayofanywa ni kama inafanywa na kuishia mitandaoni tu, sijafanikiwa kukutana na mwananchi hata mmoja ambae ameongelea hili swala.
Kwaio naendelea kukosa jibu nikijiuliza ni nani anaenda kuandamana siku hiyo.
Sasa jiulize ni nani anayesambaza vipeperushiNikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.
Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari kufanya hivyo kwa sasa, hasa hii 7/7.
Naona kama wananchi mtaani hawana habari na hili jambo na hamasa yote inayofanywa ni kama inafanywa na kuishia mitandaoni tu, sijafanikiwa kukutana na mwananchi hata mmoja ambae ameongelea hili swala.
Kwaio naendelea kukosa jibu nikijiuliza ni nani anaenda kuandamana siku hiyo.
Kila mara nakuambia usikariri, nyakati zinabadilika. Hao Cuf wako wapi sasa? Lipumba ndiyo huyo hana heshima bara wala visiwaniCUF Walikaa hapa hapa!,kwani Tanzania inapigania uhuru?
Wewe watanzania hujawajua tabia zao,wakipatikana wachache wa kuanzisha basi tegemea moto kulipuka!Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.
Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari kufanya hivyo kwa sasa, hasa hii 7/7.
Naona kama wananchi mtaani hawana habari na hili jambo na hamasa yote inayofanywa ni kama inafanywa na kuishia mitandaoni tu, sijafanikiwa kukutana na mwananchi hata mmoja ambae ameongelea hili swala.
Kwaio naendelea kukosa jibu nikijiuliza ni nani anaenda kuandamana siku hiyo.
Tanzania yetu ilipo sasa ni kama puto lililojaa upepo mpaka kiwango Cha mwisho.Hv yale ya tarehe 29/10 uliwai hata kudhani kama yangefikia pale?