Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Zanzibar kuna magari kadhaa yamejaza kutokea kikosi cha kvz mtoni, wote wameficha nyuso na silaha zito zito wanapelekwa Barua.Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.
Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari kufanya hivyo kwa sasa, hasa hii 7/7.
Naona kama wananchi mtaani hawana habari na hili jambo na hamasa yote inayofanywa ni kama inafanywa na kuishia mitandaoni tu, sijafanikiwa kukutana na mwananchi hata mmoja ambae ameongelea hili swala.
Kwaio naendelea kukosa jibu nikijiuliza ni nani anaenda kuandamana siku hiyo.
Kama hawa waliokuwa shupavu enzi hizo walishindwa,je hawa akina heche ambao hawana uthubutu wa akina maalim seif wataweza nini?,zaidi ya kutegemea external vacalist kama work force yao!Kila mara nakuambia usikariri, nyakati zinabadilika. Hao Cuf wako wapi sasa? Lipumba ndiyo huyo hana heshima bara wala visiwani
Unaweza kuwa na uthubutu ila huna maarifa. Ndiyo maana wameishia kupoteana. Sasa hawa wanatumia maarifa kuendana na nyakati. Enzi za kupita mtaa kwa mtaa kupeana habari za maandamano zimepitwa na wakati. Mtu mmoja tu lakini angalia alivyoichachafa serikali baada ya watu karibuni wote kupata habari za maandamano.Kama hawa waliokuwa shupavu enzi hizo walishindwa,je hawa akina heche ambao hawana uthubutu wa akina maalim seif wataweza nini?,zaidi ya kutegemea external vacalist kama work force yao!
Kijijini tena? Nchi gani ulishasikia wanaandamana vijijini,?Njia ya kuandamani kwa sasa ni hayo maandamano yaanzie vijijini kabla ya mijini
Wakati wa CUF,Uliwahi shuhudia jinsi walivyokuwa wakiijaza barabara yote ya uhuru nyomi?,nisijekuwa naongea na mtu ambaye hakuiona CUF.Unaweza kuwa na uthubutu ila huna maarifa. Ndiyo maana wameishia kupoteana. Sasa hawa wanatumia maarifa kuendana na nyakati. Enzi za kupita mtaa kwa mtaa kupeana habari za maandamano zimepitwa na wakati. Mtu mmoja tu lakini angalia alivyoichachafa serikali baada ya watu karibuni wote kupata habari za maandamano.
Tuseme ni sawa, je wameishia wapi?Wakati wa CUF,Uliwahi shuhudia jinsi walivyokuwa wakiijaza barabara yote ya uhuru nyomi?,nisijekuwa naongea na mtu ambaye hakuiona CUF.
Majiniasi atuishi kwa kuiga tu bali tunatumia vilivyo akili zetu ...sikusrma maandamano yafanyike vijijini bali nimesemq yaanzie huko sijui kama umejiuliza kwanini.Kijijini tena? Nchi gani ulishasikia wanaandamana vijijini,?
Kwa hiyo mnataka tuache mchongo wa kuuza kahawa tuandamane au sio👎👎Majiniasi atuishi kwa kuiga tu bali tunatumia vilivyo akili zetu ...sikusrma maandamano yafanyike vijijini bali nimesemq yaanzie huko sijui kama umejiuliza kwanini.
Akili za kuchambia misikitini unaleta kwenye mambo ya msingiKwa hiyo mnataka tuache mchongo wa kuuza kahawa tuandamane au sio👎👎
Nyie tuwakilisheni tu huko center
Hakuna mtu wa kuandamana kijijiniNjia ya kuandamani kwa sasa ni hayo maandamano yaanzie vijijini kabla ya mijini
Sikusema wapo au hawapoHakuna mtu wa kuandamana kijijini
Kijijini hakuna mizuka uchwara ya kujifanya waandamaneSikusema wapo au hawapo
☺️😊Kuna Kijiji kimoja huko ndani ndani.. ntaleta uziiiiiiii nikipata muda.Kijijini hakuna wa kukuelewa, moja kwa moja watasema huyu nae chizi. Kiufupi waliopo vijijini haswa vilivyopo mbali na barabara kuu huwambii kitu. Kama kuna mtu anataka kuandamana akandamane nilio yaona 29.10 yanatosha
Hamna hata anaenunua makosa tulifanya tarehe 9 😂😂 saizi hatuweki magenge na maduka ndaniLeo watu watanunua sana mahitaji
Maandamano ya CUF viongozi wa kitaifa wa chama wapo mstari wa mbele kabisa!...Wakati wa CUF,Uliwahi shuhudia jinsi walivyokuwa wakiijaza barabara yote ya uhuru nyomi?,nisijekuwa naongea na mtu ambaye hakuiona CUF.
Vipi kuhusu wewe?Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.
Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari kufanya hivyo kwa sasa, hasa hii 7/7.
Naona kama wananchi mtaani hawana habari na hili jambo na hamasa yote inayofanywa ni kama inafanywa na kuishia mitandaoni tu, sijafanikiwa kukutana na mwananchi hata mmoja ambae ameongelea hili swala.
Kwaio naendelea kukosa jibu nikijiuliza ni nani anaenda kuandamana siku hiyo.
Mimi naenda na nipo dar es salaam kutoka mwanzaNikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.