Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
 
20250927_170646.jpg
 
Acheni bangi 😂😂 huku watu walivyouawa bongo mkajigawa mara anabaguliwa , mara hapendwi na baraza mkaitana na wanazuoni kabisa wanajiapiza kwenye media eti watakata watu mapanga wakati Risasi haikuchagua wa kumpata 😂

Ila akili zetu nyie huwa zinarudi nyuma kama yale maandishi ! Sifagilii vita na sipendezwi na yanayotokea maana hasara ni nyingi lakini wabongo kuandamana kwa ajili ya hao super power ni kisebengo waacheni waoneshane ubabe huko , nyie huku kaeni mjadiliane ujenzi wa Vyoo na madawati shuleni hayatoshi.
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Huu ujinga utaisha lini kwenye vichwa vya watu weusi,congo,south Sudan ect mbona ham andamani
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Walipoaua watu wetu na Samuya Idi Amin Mama muislam mwenzako ulisikia au kuona hawa washenzi wanaouana wakiandamana? Mambo ya Ngoso muachia Ngoso mwenyewe. Shughulika na kushughulishwa na yako na kuacha ya wenzako. Kwangu, Marekani, Iran na Israel wote ni maadui na wabaguzi dhidi ya Mwafirika.
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Hivi waislam wanajua hata maana ya utukufu? kitu kitukufu huwa hakina dhambi. Only Jesus ndie alithibitishwa kihistoria na kidini. wengine wote wamepitiwa na dhambi.

Sasa kuhadaa watu waona uislam ni utukufu huo ni utaperi.

Tizama mtu anayewaza maandamano ya kwa ajili ya magaidi hawa walichukuliwa na Allah alafu huwa wanasema kufa kwao hamna shida ila wakifa wanalia huwa sielewi wanafiki hawa.
1772410670206.png
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Oktoba 29
 
Back
Top Bottom