Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

R.I.P ayatollah kiongozi wetu wa dini,tuna maombolezi ya siku 40 kwa ajil yako mtakatifu wetu,tuna kuenzi sana.pia mm npo nanyie ndugu zangu waislam.
 
Kwan aslimia kubwa ya watu Tanzania sn waislamu,mm mwenyewe ni mchaga muislamu.Nyie wakristo ni wanafiki sana,mnajifanya mnajua dini na hamfuati vigez vyake.Nyie n mfarisayo na masadukayo
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Mi naandamana daily moyoni kwa mauaji ya Black 29/10...
Hao waarabu wapambane na hali zao,kwanza wanatuitaga nyani alis ngedere!
 
Katika Karne hii Mtu anataka (1). Dini iwe Moja Dunia nzima (2). Anawaona Waisrael ni kama Takataka isiyotakiwa ishi duniani (3) Anaamini Kuwa ipo Siku Jerusalem itakuwa mji mtakatifu wa Dini yake (4) Ametumia mabilioni ya Dola za kimarekani kufadhiri Vikundi vya kuidhoofisha na kuipoteza Israel Kwenye Uso wa Dunia,Pesa ambazo kama angetumia kuendesha nchi yake Raia wake wangeishi hapa Duniani kama peponi. Historia inaonyesha akuna mpaka sasa wa kumshinda Israel hapa Duniani- alitakiwa ajifunze hilo na kuachana nao. Israel awashindwi kitu awaogopi ICC Wala mama ake ! Ukiwabeep wanakupigia kwa 5G with unlimited bando🤣.Na pia ni Wapenda Amani ila Majamaa Dini Yao inawaambia kuwa ukiua Mwi Israel Unaenda peponi direct. Wewe mtu amegombana mpaka na Mungu... Na Jina lenyewe Israel kapewa na Mungu Wewe Uogopi??Pia ameshindwa elewa kuwa Teknolojia karibia zote Duniani zina Mkono wa Israel. Iphone Chips and OS,Andoroid,Computer (Intel,Microsoft,google n.k) Military Technologies-Zina buniwa na kuendelezwa Israel. So Kupambana na Israel kwa sasa ni Upumbavu kiwango cha reli.
 
R.I.P ayatollah kiongozi wetu wa dini,tuna maombolezi ya siku 40 kwa ajil yako mtakatifu wetu,tuna kuenzi sana.pia mm npo nanyie ndugu zangu waislam.
Uko nao wakati unejificha tz, nenda iran kwenye eneo la tukio shehe!
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Wairan wenyewe wanashangilia huko kwa kuondolewa kubwa la magaidi wewe unaleta habari gani hii? Hata sisi siku kubwa la maadui lililoua maelfu ya Watanganyika likiuwawa tunatashangilia kama Waiarani wanavyoshangilia kifo cha gaidi Ayatollah Ali Khamenei.
 
Pumbavu zako yaan hapo Congo wanakufa waafrica wenzako wala huwazi kuandamana unakuja kuandamana kwa ajiri ya iran mazafaka kabisa ww ..juzi tu tumepoteza watz kibao hujaandamana
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Hapana,tusifanye hayo maandamano,mambo yao tuwaachie wenyewe
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Msiandamane tutawanunulia tende.
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
😂😂😂
Mbona hamjaandamana ISIS wanagyoua waislam kule Mali?
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Malipo ni shingapi,sikuhizi hakuna cha bure
 
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Mngeandamana kupinga Sudan Kusini na Boko Haram kwanza hao wa Uuarabuni hawatuhusu
 
Back
Top Bottom