and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Huu ujinga utaisha lini kwenye vichwa vya watu weusi,congo,south Sudan ect mbona ham andamaniWatukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Lisu tena ?! ,Hakuna wa kutuzuia hata huyo Lisu wenu atakandwa tu
Walipoaua watu wetu na Samuya Idi Amin Mama muislam mwenzako ulisikia au kuona hawa washenzi wanaouana wakiandamana? Mambo ya Ngoso muachia Ngoso mwenyewe. Shughulika na kushughulishwa na yako na kuacha ya wenzako. Kwangu, Marekani, Iran na Israel wote ni maadui na wabaguzi dhidi ya Mwafirika.Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Hivi waislam wanajua hata maana ya utukufu? kitu kitukufu huwa hakina dhambi. Only Jesus ndie alithibitishwa kihistoria na kidini. wengine wote wamepitiwa na dhambi.Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Oktoba 29Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
Labda muandamane kwenye mitandao, tuache nchi itulie. Au kama vipi nenda Tehran mkaHakuna wa kutuzuia hata huyo Lisu wenu atakandwa tu