Maandamano ya Amani kupinga mashambulizi ya Israel huko Lebanon Kwa Hezbollah

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 06 Disemba, 2024 baada ya Salat Al jummah

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja

Wabillah Taufiq
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Swala.

Mahali (pa kuanzia): Magomeni Kichangani.
Taarifa za 'kiintelejensia' zinaonesha kuna viashiria vya uvunjifu wa amani; hivyo maandamano kwa sasa hayataruhusiwa!
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Swala.

Mahali (pa kuanzia): Magomeni Kichangani.
Ya kwetu bado ni kitendawili.

Waachie waarabu na mzayuni wayajenge wa ayoyataka kuyajenga.

Lilia wayoto na wajukuu wako
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Swala.

Mahali (pa kuanzia): Magomeni Kichangani.
Usituletee mambo ya kigaidi hapa. Huo ushekhe ubwabwa wako uishie huko huko.

Yaani unataka tupinge juhudi za Israel kupambana na magaidi? Mwishowe magaidi yataenea dunia nzima.

Netanyahu kanyaga twende baba!!
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Swala.

Mahali (pa kuanzia): Magomeni Kichangan

Kwenda Kizimkazi.
Naunga mkono. Na hiyo ni kusema kufa siyo kufa tu, muuaji anayedhurum uhai wa wegine asikubalike mahali popote. Sasa, tuanze na wauaji walio kati ya jamii. yetu wenyewe
 
Back
Top Bottom