mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mbona hukuandamana kuhusu wamasai ngorongoroNdugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja
Wabillah Taufiq
Ova