Nani alianza shobo kwa mwenzie??Israel au hamas&hezbollah??Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja
Wabillah Taufiq
Maana kama watu mliwachokoza wenyewe,sisi tuandamane kupinga ili iweje