Maandamano ya Amani kupinga mashambulizi ya Israel huko Lebanon Kwa Hezbollah

Mbona hukuandamana kuhusu wamasai ngorongoro

Ova
 
Kutoka "Hamas na Hezbollah wanaenda kuipoteza Israel kutoka uso wa dunia" hadi Maandamano ya kuomba Poo! 😆😆🤣🤣

Tulisema mapema msije kulia lia huko mbeleni, kiko wapi sasa?
 
God Bless Israel
 
ndugu yenu katekwa hapa nyumbani, kauwawa ulikuwa wapi hukuandamana, leo hii ndio ukatetee ndugu wa mbali. Huoni aibu
 
Ndugu zako watakuwa wamekuelewa. Sisi wengine tunasema kazi iendelee!
 
Ukichekelea msiba wangu leo, kesho nitachekelea msiba wako. Tusichoshane, kila mtu ashinde mechu zake.
 
Hawa ndugu zenu katika imani hamna mpango nao?
 
Aliuwawa Mohammed Kibao hukuandamana. Maisha ya Waislamu wa Tanzania hayana thamani kwako?
 
Ni
ninyi si mlisema myahudi hana ubavu wa kuingia lebanoni sasa maandamano ya kazi gani,kobazi bhana pedophile mudi kawahalibu bongo zenu.
 
Usituletee mambo ya kigaidi hapa. Huo ushekhe ubwabwa wako uishie huko huko.

Yaani unataka tuipinge juhudi za Israel kupambana na magaidi? Mwishowe magaidi yataenea dunia nzima.

Netanyahu kanyaga twende baba!!
Tumechelewa sana mkuu. Netanyau piga kazi.
 
Kama kawaida miafrica inajionyesha ilivyo mbululu. Kwanini msiandamane kwa mauaji yanayoendelea hapo sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…