Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa
Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya maisha yao, Mtu yupo radhi asile usiku aende kuangalia mechi kibanda umiza.
Leo hii jumamosi Yanga ameshafuzu, Simba ni Kesho, Jumatatu talk of the nation itakuwa ni Simba na Yanga, Maandamano kuangukia siku hii ni mpango ambao haukutathminiwa vizuri kwa muenendo wa hali ya nchi yetu.