Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Naacha nafasi ili na wewe uweke yako.Luka sasa hivi huweki kabisa namba ya simu, umekata tamaa kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naacha nafasi ili na wewe uweke yako.Luka sasa hivi huweki kabisa namba ya simu, umekata tamaa kabisa?
Kumbe saccos huwa zina wenyeviti wa kudumu! kuwa kitaga uchumi cha familia sioni ubaya wa hilo hata wewe mkuu chochote unacokifanya ni kitega uchumi cha familia yako unless uwe huna familiaKwa ufupi CHADEMA ni kama Sacco's tu ya wachumia tumbo na wasaka Tonge .ndio maana unaona kuna Mwenyekiti wa kudumu pale ambaye anakitumia chama kama kitega uchumi cha familia.
Huu muda ilitakiwa uwe kwenye maanday.sasa nakushangaa unatafuta nini huku? Kweli wajinga ndio waliwao.Ukiangalia muvi ya sarafina Kuna jamaa moja ivi bonge bonge jeusi lilikua ni li puppet la makaburu.
Huyo jamaa namfananisha na Lucas mwashambwa.
Unafanya ivyo kwa faida ya Nani ili iweje Lucas mwashambwa.
Basi badilisheni usajili wake.Kumbe saccos huwa zina wenyeviti wa kudumu! kuwa kitaga uchumi cha familia sioni ubaya wa hilo hata wewe mkuu chochote unacokifanya ni kitega uchumi cha familia yako unless uwe huna familia
Nani awe marehehemu leo hii bila sababuNdugu zangu Watanzania,
CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.
Wananchi wanasema hawaoni sababu wala hoja yenye mashiko ya kuunga mkono na kushiriki kwenye maandamano hayo haramu,.zaidi ya kuona ajenda iliyojificha ya kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na kuchochea machafuko hapa Nchini.
Wana Dar es salaam waliyakataa maandamano haya tangia muda mrefu sana ,ndio sababu CHADEMA wakawa wanatumia nguvu na gharama kubwa kuwaomba watu wa mikoani wasafiri kuja kuandamana Dar.Embu jiulize ndugu yangu inakuwaje CHADEMA wasafirishe watu kuja kuandamana Dar es salaam yenye watu zaidi ya Millioni 6? Kwanini wanatumia gharama kubwa na pesa nyingi kusombelea watu kuja dar wakati chama hicho hicho kinashindwa hata kujenga ofisi za chama mikoani?
CHADEMA ina Ombwe kubwa sana la uongozi.ndio maana inakwenda tu kama gari bovu linaloendeshwa na kipofu gizani. Chama hakina mwelekeo wala Dira wala mvuto wala ushawishi kwa watu ,hakina uungwaji mkono wala nguvu ya Umma,hakina watu wa kukitetea wala kukipigania.zaidi utakuta wachache wapo huko Twitter wakitukana Mimatusi yao utafikiri vichaa au wendawazimu. huku wakiogopa kuingia barabarani kuandamana kama walivyokuwa wakiwadanganya wengine waandamane.
Uzuri ni kuwa watanzania wanafahamu utapeli na ubabaishaji wa CHADEMA ndio sababu hawapo tayari kamwe kuwaunga mkono.wanajuwa ni wasaka Tonge,wachumia tumbo na watu wenye kupigania maslahi yao binafsi.ndio maana kuna wakati walipendekeza uwepo wa wabunge wawili wawili katika kila jimbo.lengo likiwa kuongeza upana wa njia ya wao kupata ubunge ili wakavune pesa na kujilimbikizia ,halafu baadaye wakishiba waje kuwatukana watanzania kuwa ni maskini na wanaofanya kazi za kimaskini na zilizolaaniwa.kama ambavyo nyote ni mashahidi wa kauli za Godbless Lema akiwatukana watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwanini umfanye mwenzio marehemu? Halafu pengine anaemfamya marehemu na yeye anafanywa marehemu na mwengineNani awe marehehemu leo hii bila sababu
Huyu ni UWT na ndiyo kazi ake kuuUkiangalia muvi ya sarafina Kuna jamaa moja ivi bonge bonge jeusi lilikua ni li puppet la makaburu.
Huyo jamaa namfananisha na Lucas mwashambwa.
Unafanya ivyo kwa faida ya Nani ili iweje Lucas mwashambwa.
Sidhani kama watabadilisha maana Saccos hazina wanyeviti wa kudumu kama waoBasi badilisheni usajili wake.
Ni kwa sababu wao UWT hawajaandamanaYamepuuzwa na nani? Mbona mimi nipo barabarani tayari
Wewe ni mpuuzi na upogo biased ipo ivyo siku zoteee na Wala hujifikiliagi bullshit ! siku ulete huo uchoko kwa wazazi wa soka na mzee Ali kibao na kina sativa na wote walio poteza ndugu zao. Ndipo utajua maana halisi ya Maumivu.Huu muda ilitakiwa uwe kwenye maanday.sasa nakushangaa unatafuta nini huku? Kweli wajinga ndio waliwao.
Halinaga hata aibu ni kusifia tuu na lucas yeye anacho amin adui wa taifa ni CHADEMA.Huyu ni UWT na ndiyo kazi ake kuu
Lucas yupo UWT unategemea nini? ndiyo kazi akeHalinaga hata aibu ni kusifia tuu na lucas yeye anacho amin adui wa taifa ni CHADEMA.
Wakati maadui wa taifa tulio aminishwa tangu uhuru ni UJINGA, UMASKINI, MARADHI.
Watu Kama Lucas Ndio maana halisi ya waste sperm.
Dogo bado upo huku na domo lako? Sasa unaenda saa ngapi kwenye maandamano?😀😀kweli CHADEMA ni matapeli sana.mlitaka kuwatoa kafara watu huku Ninyi mkiwa mmejificha huku kama kukuLucas yupo UWT unategemea nini? ndiyo kazi ake
Ikiwa akili yako imewahisi hao basi ndio hao!Mchumia Tumbo ni Mbowe au Lisu au wote ? unaweza kufafanua kidogo?
Basi nenda kaandamane na siyo kutukana Mimatusi yako huku .sasa kama wewe huandamani na upo huku umejificha kama Bata unataka nani na mtoto wa nani akaandamane kwa ajili yako?Halinaga hata aibu ni kusifia tuu na lucas yeye anacho amin adui wa taifa ni CHADEMA.
Wakati maadui wa taifa tulio aminishwa tangu uhuru ni UJINGA, UMASKINI, MARADHI.
Watu Kama Lucas Ndio maana halisi ya waste sperm.