Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

IMG_5563.jpeg
 
Unaandika huku umejifungia Lumumba ,umepita mitaani uone hali halisi?
Mimi nipo na wananchi wenzangu tunaendelea na shughuli zetu ,huku hata wana CHADEMA wenyewe wakiwa wameyapuuza maandamano hayo yaliyotangazwa na viongozi wao.wakisema kuwa viongozi wao ni wachumia tumbo tu na wasaka Tonge
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Usilete hasira zako hapa.kama una hasira nenda kaandamane huko ushikishwe adabu.
Ungekua mzima wa afya ya akili usinge shangilia matumizi ya nguvu za jeshi kuzima maandamano ya amani tena yenye kusisitiza serikali kuwajibika kudhibiti vitendo vya utekaji na mauaji.
 
Mimi nipo na wananchi wenzangu tunaendelea na shughuli zetu ,huku hata wana CHADEMA wenyewe wakiwa wameyapuuza maandamano hayo yaliyotangazwa na viongozi wao.wakisema kuwa viongozi wao ni wachumia tumbo tu na wasaka Tonge

Sasa kama unaendelea na shughuli zako tathmini ya maandano nchi nzima umeyatoa wapi? Sisi Arush huku tupo barabarani tunaandamana.
 
U

ngekua mzima wa afya ya akili usinge shangilia matumizi ya nguvu za jeshi kuzima maandamano ya amani tena yenye kusisitiza serikali kuwajibika kudhibiti vitendo vya utekaji na mauaji.
Kwenda zako huko ukaandamane na siyo kulialia hapa.
 
Sasa kama unaendelea na shughuli zako tathmini ya maandano nchi nzima umeyatoa wapi? Sisi Arush huku tupo barabarani tunaandamana.
Barabara ya wapi hiyo? Hapa ndio barabarani? Kweli ma CHADEMA ni matapeli kwelikweli.yaani hadi Ninyi mmempuuza Mbowe.
 
Kumbe saccos huwa zina wenyeviti wa kudumu! kuwa kitaga uchumi cha familia sioni ubaya wa hilo hata wewe mkuu chochote unacokifanya ni kitega uchumi cha familia yako unless uwe huna familia
Sawa lakini usihadae umma mambumbu kama wewe
 
Sku moja tutaandamana wenyewe bira ya chadema na hivyo vyombo vya usalama ambayo ukiunganisha vyote hupati askar milion 1 havitoonekana
 
Barabara ya wapi hiyo? Hapa ndio barabarani? Kweli ma CHADEMA ni matapeli kwelikweli.yaani hadi Ninyi mmempuuza Mbowe.

Kwani simu haishiki JF? Au ili uchat lazima uwe ndani ukiwa barabarani hauwezi kuchat au kuingia mtandaoni?
 
Back
Top Bottom