Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

Ukiangalia nyuso za baadhi ya hao maaskari Wengi HAZINA furaha na zimejaa haya.

Soon wakikaa juani week nzima boda boda na bajaji wanao pita mwendokasi kilwa road wajiandae MAANA ASKARI WAMEPEWA NYAVU ALAFU WAONE SAMAKI WANAKATIZA KATIZA MBELE YAO.
Nenda basi barabarani ukawape faraja na siyo kupiga porojo zako hapa.
 
Wewe maandamano Ujayaona Yaaani.Nchi nzima polisi wametusaidia kuandamana na Ujumbe umefika kwamba wameitikia Wito wa Chama kupinga mauaji,utekaji,kuumiza watu
 
Kwa hiki kinachoonekana tafsiri yake Chadema wanatisha.. Leo hadi Muliro yupo doria kmmke..serikali yote ipo roho juu..
 
Wewe ni mpuuzi na upogo biased ipo ivyo siku zoteee na Wala hujifikiliagi bullshit ! siku ulete huo uchoko kwa wazazi wa soka na mzee Ali kibao na kina sativa na wote walio poteza ndugu zao. Ndipo utajua maana halisi ya Maumivu.

Kama ni furaha bubujikwa na machozi unayo bubujikwa kwa furaha kama chizi.
Kwenda zako huko wewe . Sasa mbona hujaenda kuandamana na badala yake upo hapa kutukana matusi? Kama unajiamini nenda ukaandamane ukione cha mtema kuni .kwa hakika hilo bichwa lako litarudi limejaa akili😀😀
 
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu, kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mashahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutenda isivyo haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo iliyo karibu zaidi na ucha Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye khabari za yale myatendayo.

”Aya hizi zinafundisha kuwa haki lazima ipewe kipaumbele katika hukumu, na kuhukumu kwa usawa ni sehemu ya ucha Mungu. Qur'an inaweka msingi thabiti wa maadili ya haki katika hukumu na inawataka Waislamu kuwa waaminifu na waadilifu katika kila jambo la hukumu na maamuzi.
Hiyo story umeitoa ukoo gani? Wa Yoashua au Nebokadneza??
 
Kwa hiki kinachoonekana tafsiri yake Chadema wanatisha.. Leo hadi Muliro yupo doria kmmke..serikali yote ipo roho juu..
Msianze kuhamisha magoli .wewe nenda ukafanye maandamano na siyo kujificha huku
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Basi nenda kaandamane na siyo kutukana Mimatusi yako huku .sasa kama wewe huandamani na upo huku umejificha kama Bata unataka nani na mtoto wa nani akaandamane kwa ajili yako?
Siku moja kwa kujua au kuto kujua utayakumbuka haya maneno.
" The saddest thing about betrayal is that it never comes from your enemies; it comes from those you trust the most. ..." Ipo siku utayakumbuka haya maneno wewe Endelea kutumika Kama TOILET PAPER 🧻 🚽
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.

Wananchi wanasema hawaoni sababu wala hoja yenye mashiko ya kuunga mkono na kushiriki kwenye maandamano hayo haramu,.zaidi ya kuona ajenda iliyojificha ya kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na kuchochea machafuko hapa Nchini.

Wana Dar es salaam waliyakataa maandamano haya tangia muda mrefu sana ,ndio sababu CHADEMA wakawa wanatumia nguvu na gharama kubwa kuwaomba watu wa mikoani wasafiri kuja kuandamana Dar.Embu jiulize ndugu yangu inakuwaje CHADEMA wasafirishe watu kuja kuandamana Dar es salaam yenye watu zaidi ya Millioni 6? Kwanini wanatumia gharama kubwa na pesa nyingi kusombelea watu kuja dar wakati chama hicho hicho kinashindwa hata kujenga ofisi za chama mikoani?

CHADEMA ina Ombwe kubwa sana la uongozi.ndio maana inakwenda tu kama gari bovu linaloendeshwa na kipofu gizani. Chama hakina mwelekeo wala Dira wala mvuto wala ushawishi kwa watu ,hakina uungwaji mkono wala nguvu ya Umma,hakina watu wa kukitetea wala kukipigania.zaidi utakuta wachache wapo huko Twitter wakitukana Mimatusi yao utafikiri vichaa au wendawazimu. huku wakiogopa kuingia barabarani kuandamana kama walivyokuwa wakiwadanganya wengine waandamane.

Uzuri ni kuwa watanzania wanafahamu utapeli na ubabaishaji wa CHADEMA ndio sababu hawapo tayari kamwe kuwaunga mkono.wanajuwa ni wasaka Tonge,wachumia tumbo na watu wenye kupigania maslahi yao binafsi.ndio maana kuna wakati walipendekeza uwepo wa wabunge wawili wawili katika kila jimbo.lengo likiwa kuongeza upana wa njia ya wao kupata ubunge ili wakavune pesa na kujilimbikizia ,halafu baadaye wakishiba waje kuwatukana watanzania kuwa ni maskini na wanaofanya kazi za kimaskini na zilizolaaniwa.kama ambavyo nyote ni mashahidi wa kauli za Godbless Lema akiwatukana watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ilidhihirika wazi mapema, kwamba huenda hata tangazo la maandamano hayo haramu lilichochewa kwa mihemko, baada ya mtoa tangazo kutumia kinywaji cha kusisimua na kuhamasisha ubongo kusema yasiostahili .
 
Muda huu wamejikunyata na kujificha huko mitandaoni huku wakichungulia kwa mbali utafikiri wapo shimoni. Wameona aibu kubwa sana baada ya kuona ujinga wao umepuuzwa na watanzania.
 
Siku moja kwa kujua au kuto kujua utayakumbuka haya maneno.
" The saddest thing about betrayal is that it never comes from your enemies; it comes from those you trust the most. ..." Ipo siku utayakumbuka haya maneno wewe Endelea kutumika Kama TOILET PAPER 🧻 🚽
Hadi muda huu bado hujakwenda kuandamana? Kweli wewe na wenzako ni matapeli kwelikweli.nenda huko ukafundishwe adabu
 
Unaandika huku umejifungia Lumumba ,umepita mitaani uone hali halisi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.

Wananchi wanasema hawaoni sababu wala hoja yenye mashiko ya kuunga mkono na kushiriki kwenye maandamano hayo haramu,.zaidi ya kuona ajenda iliyojificha ya kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na kuchochea machafuko hapa Nchini.

Wana Dar es salaam waliyakataa maandamano haya tangia muda mrefu sana ,ndio sababu CHADEMA wakawa wanatumia nguvu na gharama kubwa kuwaomba watu wa mikoani wasafiri kuja kuandamana Dar.Embu jiulize ndugu yangu inakuwaje CHADEMA wasafirishe watu kuja kuandamana Dar es salaam yenye watu zaidi ya Millioni 6? Kwanini wanatumia gharama kubwa na pesa nyingi kusombelea watu kuja dar wakati chama hicho hicho kinashindwa hata kujenga ofisi za chama mikoani?

CHADEMA ina Ombwe kubwa sana la uongozi.ndio maana inakwenda tu kama gari bovu linaloendeshwa na kipofu gizani. Chama hakina mwelekeo wala Dira wala mvuto wala ushawishi kwa watu ,hakina uungwaji mkono wala nguvu ya Umma,hakina watu wa kukitetea wala kukipigania.zaidi utakuta wachache wapo huko Twitter wakitukana Mimatusi yao utafikiri vichaa au wendawazimu. huku wakiogopa kuingia barabarani kuandamana kama walivyokuwa wakiwadanganya wengine waandamane.

Uzuri ni kuwa watanzania wanafahamu utapeli na ubabaishaji wa CHADEMA ndio sababu hawapo tayari kamwe kuwaunga mkono.wanajuwa ni wasaka Tonge,wachumia tumbo na watu wenye kupigania maslahi yao binafsi.ndio maana kuna wakati walipendekeza uwepo wa wabunge wawili wawili katika kila jimbo.lengo likiwa kuongeza upana wa njia ya wao kupata ubunge ili wakavune pesa na kujilimbikizia ,halafu baadaye wakishiba waje kuwatukana watanzania kuwa ni maskini na wanaofanya kazi za kimaskini na zilizolaaniwa.kama ambavyo nyote ni mashahidi wa kauli za Godbless Lema akiwatukana watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yamekataliwa au Police wameandamana toka wiki iliyopita badala na hata leo WAMEENDA NYUMBANI KWA VIONGOZI WA CHADEMA TOKA USIKU KUKESHAA NAO mbonaa huandiki hichi CDM ni kilakitu kwa nchii hiii
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.

Wananchi wanasema hawaoni sababu wala hoja yenye mashiko ya kuunga mkono na kushiriki kwenye maandamano hayo haramu,.zaidi ya kuona ajenda iliyojificha ya kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na kuchochea machafuko hapa Nchini.

Wana Dar es salaam waliyakataa maandamano haya tangia muda mrefu sana ,ndio sababu CHADEMA wakawa wanatumia nguvu na gharama kubwa kuwaomba watu wa mikoani wasafiri kuja kuandamana Dar. Embu jiulize ndugu yangu inakuwaje CHADEMA wasafirishe watu kuja kuandamana Dar es Salaam yenye watu zaidi ya Millioni 6? Kwanini wanatumia gharama kubwa na pesa nyingi kusombelea watu kuja dar wakati chama hicho hicho kinashindwa hata kujenga ofisi za chama mikoani?

CHADEMA ina Ombwe kubwa sana la uongozi.ndio maana inakwenda tu kama gari bovu linaloendeshwa na kipofu gizani. Chama hakina mwelekeo wala Dira wala mvuto wala ushawishi kwa watu ,hakina uungwaji mkono wala nguvu ya Umma,hakina watu wa kukitetea wala kukipigania.zaidi utakuta wachache wapo huko Twitter wakitukana Mimatusi yao huku wakiogopa kuingia barabarani kuandamana kama walivyokuwa wakiwadanganya wengine waandamane.

Uzuri ni kuwa watanzania wanafahamu utapeli na ubabaishaji wa CHADEMA ndio sababu hawapo tayari kamwe kuwaunga mkono.wanajuwa ni wasaka Tonge, wachumia tumbo na watu wenye kupigania maslahi yao binafsi. Ndio maana kuna wakati walipendekeza uwepo wa wabunge wawili wawili katika kila jimbo.lengo likiwa kuongeza upana wa njia ya wao kupata ubunge ili wakavune pesa na kujilimbikizia, halafu baadaye wakishiba waje kuwatukana watanzania kuwa ni maskini na wanaofanya kazi za kimaskini na zilizolaaniwa.kama ambavyo nyote ni mashahidi wa kauli za Godbless Lema akiwatukana watanzania.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
We waoni makamanda kibao wamevaa magandwa yao wakiandamana huko Barabarani tena safari wametoka na silaha kweli CDM ni chama hatari sana yaani wanaandamana na silaha
 
Acheni porojo zenu.si mlisema mtaandamana na hakuna wa kuwazuia.
 
Yamekataliwa au Police wameandamana toka wiki iliyopita badala na hata leo WAMEENDA NYUMBANI KWA VIONGOZI WA CHADEMA TOKA USIKU KUKESHAA NAO mbonaa huandiki hichi CDM ni kilakitu kwa nchii hiii
Nenda na wewe uandamane.mmeanza porojo zenu za siku zote baada ya kupuuzwa na watanzania
 
Back
Top Bottom