Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

Kwa ufupi CHADEMA ni kama Sacco's tu ya wachumia tumbo na wasaka Tonge .ndio maana unaona kuna Mwenyekiti wa kudumu pale ambaye anakitumia chama kama kitega uchumi cha familia.
Kumbe saccos huwa zina wenyeviti wa kudumu! kuwa kitaga uchumi cha familia sioni ubaya wa hilo hata wewe mkuu chochote unacokifanya ni kitega uchumi cha familia yako unless uwe huna familia
 
Ukiangalia muvi ya sarafina Kuna jamaa moja ivi bonge bonge jeusi lilikua ni li puppet la makaburu.

Huyo jamaa namfananisha na Lucas mwashambwa.

Unafanya ivyo kwa faida ya Nani ili iweje Lucas mwashambwa.
Huu muda ilitakiwa uwe kwenye maanday.sasa nakushangaa unatafuta nini huku? Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Kumbe saccos huwa zina wenyeviti wa kudumu! kuwa kitaga uchumi cha familia sioni ubaya wa hilo hata wewe mkuu chochote unacokifanya ni kitega uchumi cha familia yako unless uwe huna familia
Basi badilisheni usajili wake.
 
Nani awe marehehemu leo hii bila sababu
 
Huu muda ilitakiwa uwe kwenye maanday.sasa nakushangaa unatafuta nini huku? Kweli wajinga ndio waliwao.
Wewe ni mpuuzi na upogo biased ipo ivyo siku zoteee na Wala hujifikiliagi bullshit ! siku ulete huo uchoko kwa wazazi wa soka na mzee Ali kibao na kina sativa na wote walio poteza ndugu zao. Ndipo utajua maana halisi ya Maumivu.

Kama ni furaha bubujikwa na machozi unayo bubujikwa kwa furaha kama chizi.
 
Halinaga hata aibu ni kusifia tuu na lucas yeye anacho amin adui wa taifa ni CHADEMA.

Wakati maadui wa taifa tulio aminishwa tangu uhuru ni UJINGA, UMASKINI, MARADHI.

Watu Kama Lucas Ndio maana halisi ya waste sperm.
Basi nenda kaandamane na siyo kutukana Mimatusi yako huku .sasa kama wewe huandamani na upo huku umejificha kama Bata unataka nani na mtoto wa nani akaandamane kwa ajili yako?
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…