Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Nenda basi barabarani ukawape faraja na siyo kupiga porojo zako hapa.Ukiangalia nyuso za baadhi ya hao maaskari Wengi HAZINA furaha na zimejaa haya.
Soon wakikaa juani week nzima boda boda na bajaji wanao pita mwendokasi kilwa road wajiandae MAANA ASKARI WAMEPEWA NYAVU ALAFU WAONE SAMAKI WANAKATIZA KATIZA MBELE YAO.
hapana akili yangu imekuhisi wewe na ni wewe mchumia tumboIkiwa akili yako imewahisi hao basi ndio hao!
Kwenda zako huko wewe . Sasa mbona hujaenda kuandamana na badala yake upo hapa kutukana matusi? Kama unajiamini nenda ukaandamane ukione cha mtema kuni .kwa hakika hilo bichwa lako litarudi limejaa akiliππWewe ni mpuuzi na upogo biased ipo ivyo siku zoteee na Wala hujifikiliagi bullshit ! siku ulete huo uchoko kwa wazazi wa soka na mzee Ali kibao na kina sativa na wote walio poteza ndugu zao. Ndipo utajua maana halisi ya Maumivu.
Kama ni furaha bubujikwa na machozi unayo bubujikwa kwa furaha kama chizi.
Hiyo story umeitoa ukoo gani? Wa Yoashua au Nebokadneza??βEnyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu, kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mashahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutenda isivyo haki. Tendeni haki; hiyo ndiyo iliyo karibu zaidi na ucha Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye khabari za yale myatendayo.
βAya hizi zinafundisha kuwa haki lazima ipewe kipaumbele katika hukumu, na kuhukumu kwa usawa ni sehemu ya ucha Mungu. Qur'an inaweka msingi thabiti wa maadili ya haki katika hukumu na inawataka Waislamu kuwa waaminifu na waadilifu katika kila jambo la hukumu na maamuzi.
Msianze kuhamisha magoli .wewe nenda ukafanye maandamano na siyo kujificha hukuKwa hiki kinachoonekana tafsiri yake Chadema wanatisha.. Leo hadi Muliro yupo doria kmmke..serikali yote ipo roho juu..
Siku moja kwa kujua au kuto kujua utayakumbuka haya maneno.Basi nenda kaandamane na siyo kutukana Mimatusi yako huku .sasa kama wewe huandamani na upo huku umejificha kama Bata unataka nani na mtoto wa nani akaandamane kwa ajili yako?
ilidhihirika wazi mapema, kwamba huenda hata tangazo la maandamano hayo haramu lilichochewa kwa mihemko, baada ya mtoa tangazo kutumia kinywaji cha kusisimua na kuhamasisha ubongo kusema yasiostahili .Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.
Wananchi wanasema hawaoni sababu wala hoja yenye mashiko ya kuunga mkono na kushiriki kwenye maandamano hayo haramu,.zaidi ya kuona ajenda iliyojificha ya kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na kuchochea machafuko hapa Nchini.
Wana Dar es salaam waliyakataa maandamano haya tangia muda mrefu sana ,ndio sababu CHADEMA wakawa wanatumia nguvu na gharama kubwa kuwaomba watu wa mikoani wasafiri kuja kuandamana Dar.Embu jiulize ndugu yangu inakuwaje CHADEMA wasafirishe watu kuja kuandamana Dar es salaam yenye watu zaidi ya Millioni 6? Kwanini wanatumia gharama kubwa na pesa nyingi kusombelea watu kuja dar wakati chama hicho hicho kinashindwa hata kujenga ofisi za chama mikoani?
CHADEMA ina Ombwe kubwa sana la uongozi.ndio maana inakwenda tu kama gari bovu linaloendeshwa na kipofu gizani. Chama hakina mwelekeo wala Dira wala mvuto wala ushawishi kwa watu ,hakina uungwaji mkono wala nguvu ya Umma,hakina watu wa kukitetea wala kukipigania.zaidi utakuta wachache wapo huko Twitter wakitukana Mimatusi yao utafikiri vichaa au wendawazimu. huku wakiogopa kuingia barabarani kuandamana kama walivyokuwa wakiwadanganya wengine waandamane.
Uzuri ni kuwa watanzania wanafahamu utapeli na ubabaishaji wa CHADEMA ndio sababu hawapo tayari kamwe kuwaunga mkono.wanajuwa ni wasaka Tonge,wachumia tumbo na watu wenye kupigania maslahi yao binafsi.ndio maana kuna wakati walipendekeza uwepo wa wabunge wawili wawili katika kila jimbo.lengo likiwa kuongeza upana wa njia ya wao kupata ubunge ili wakavune pesa na kujilimbikizia ,halafu baadaye wakishiba waje kuwatukana watanzania kuwa ni maskini na wanaofanya kazi za kimaskini na zilizolaaniwa.kama ambavyo nyote ni mashahidi wa kauli za Godbless Lema akiwatukana watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muda huu wamejikunyata na kujificha huko mitandaoni huku wakichungulia kwa mbali utafikiri wapo shimoni. Wameona aibu kubwa sana baada ya kuona ujinga wao umepuuzwa na watanzania.ilidhihirika wazi mapema, kwamba huenda hata tangazo la maandamano hayo haramu lilichochewa kwa mihemko, baada ya mtoa tangazo kutumia kinywaji cha kusisimua na kuhamasisha ubongo kusema yasiostahili .
Hadi muda huu bado hujakwenda kuandamana? Kweli wewe na wenzako ni matapeli kwelikweli.nenda huko ukafundishwe adabuSiku moja kwa kujua au kuto kujua utayakumbuka haya maneno.
" The saddest thing about betrayal is that it never comes from your enemies; it comes from those you trust the most. ..." Ipo siku utayakumbuka haya maneno wewe Endelea kutumika Kama TOILET PAPER π§» π½
Yamekataliwa au Police wameandamana toka wiki iliyopita badala na hata leo WAMEENDA NYUMBANI KWA VIONGOZI WA CHADEMA TOKA USIKU KUKESHAA NAO mbonaa huandiki hichi CDM ni kilakitu kwa nchii hiiiNdugu zangu Watanzania,
CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.
Wananchi wanasema hawaoni sababu wala hoja yenye mashiko ya kuunga mkono na kushiriki kwenye maandamano hayo haramu,.zaidi ya kuona ajenda iliyojificha ya kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na kuchochea machafuko hapa Nchini.
Wana Dar es salaam waliyakataa maandamano haya tangia muda mrefu sana ,ndio sababu CHADEMA wakawa wanatumia nguvu na gharama kubwa kuwaomba watu wa mikoani wasafiri kuja kuandamana Dar.Embu jiulize ndugu yangu inakuwaje CHADEMA wasafirishe watu kuja kuandamana Dar es salaam yenye watu zaidi ya Millioni 6? Kwanini wanatumia gharama kubwa na pesa nyingi kusombelea watu kuja dar wakati chama hicho hicho kinashindwa hata kujenga ofisi za chama mikoani?
CHADEMA ina Ombwe kubwa sana la uongozi.ndio maana inakwenda tu kama gari bovu linaloendeshwa na kipofu gizani. Chama hakina mwelekeo wala Dira wala mvuto wala ushawishi kwa watu ,hakina uungwaji mkono wala nguvu ya Umma,hakina watu wa kukitetea wala kukipigania.zaidi utakuta wachache wapo huko Twitter wakitukana Mimatusi yao utafikiri vichaa au wendawazimu. huku wakiogopa kuingia barabarani kuandamana kama walivyokuwa wakiwadanganya wengine waandamane.
Uzuri ni kuwa watanzania wanafahamu utapeli na ubabaishaji wa CHADEMA ndio sababu hawapo tayari kamwe kuwaunga mkono.wanajuwa ni wasaka Tonge,wachumia tumbo na watu wenye kupigania maslahi yao binafsi.ndio maana kuna wakati walipendekeza uwepo wa wabunge wawili wawili katika kila jimbo.lengo likiwa kuongeza upana wa njia ya wao kupata ubunge ili wakavune pesa na kujilimbikizia ,halafu baadaye wakishiba waje kuwatukana watanzania kuwa ni maskini na wanaofanya kazi za kimaskini na zilizolaaniwa.kama ambavyo nyote ni mashahidi wa kauli za Godbless Lema akiwatukana watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unadinywa niniUsilete hasira zako hapa.kama una hasira nenda kaandamane huko ushikishwe adabu.
We waoni makamanda kibao wamevaa magandwa yao wakiandamana huko Barabarani tena safari wametoka na silaha kweli CDM ni chama hatari sana yaani wanaandamana na silahaNdugu zangu Watanzania,
CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini.
Wananchi wanasema hawaoni sababu wala hoja yenye mashiko ya kuunga mkono na kushiriki kwenye maandamano hayo haramu,.zaidi ya kuona ajenda iliyojificha ya kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na kuchochea machafuko hapa Nchini.
Wana Dar es salaam waliyakataa maandamano haya tangia muda mrefu sana ,ndio sababu CHADEMA wakawa wanatumia nguvu na gharama kubwa kuwaomba watu wa mikoani wasafiri kuja kuandamana Dar. Embu jiulize ndugu yangu inakuwaje CHADEMA wasafirishe watu kuja kuandamana Dar es Salaam yenye watu zaidi ya Millioni 6? Kwanini wanatumia gharama kubwa na pesa nyingi kusombelea watu kuja dar wakati chama hicho hicho kinashindwa hata kujenga ofisi za chama mikoani?
CHADEMA ina Ombwe kubwa sana la uongozi.ndio maana inakwenda tu kama gari bovu linaloendeshwa na kipofu gizani. Chama hakina mwelekeo wala Dira wala mvuto wala ushawishi kwa watu ,hakina uungwaji mkono wala nguvu ya Umma,hakina watu wa kukitetea wala kukipigania.zaidi utakuta wachache wapo huko Twitter wakitukana Mimatusi yao huku wakiogopa kuingia barabarani kuandamana kama walivyokuwa wakiwadanganya wengine waandamane.
Uzuri ni kuwa watanzania wanafahamu utapeli na ubabaishaji wa CHADEMA ndio sababu hawapo tayari kamwe kuwaunga mkono.wanajuwa ni wasaka Tonge, wachumia tumbo na watu wenye kupigania maslahi yao binafsi. Ndio maana kuna wakati walipendekeza uwepo wa wabunge wawili wawili katika kila jimbo.lengo likiwa kuongeza upana wa njia ya wao kupata ubunge ili wakavune pesa na kujilimbikizia, halafu baadaye wakishiba waje kuwatukana watanzania kuwa ni maskini na wanaofanya kazi za kimaskini na zilizolaaniwa.kama ambavyo nyote ni mashahidi wa kauli za Godbless Lema akiwatukana watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Ingia barabarani na siyo kuleta hasira hapa.njoo barabarani uvunjwe vimiguu vyakoUnadinywa nini
Acheni porojo zenu.si mlisema mtaandamana na hakuna wa kuwazuia.We waoni makamanda kibao wamevaa magandwa yao wakiandamana huko Barabarani tena safari wametoka na silaha kweli CDM ni chama hatari sana yaani wanaandamana na silaha
Nenda na wewe uandamane.mmeanza porojo zenu za siku zote baada ya kupuuzwa na watanzaniaYamekataliwa au Police wameandamana toka wiki iliyopita badala na hata leo WAMEENDA NYUMBANI KWA VIONGOZI WA CHADEMA TOKA USIKU KUKESHAA NAO mbonaa huandiki hichi CDM ni kilakitu kwa nchii hiii
Bado hujakwenda kuandamana wewe tapeli πππ.kweli wajinga ndio waliwao.naona hata wewe umetapuuza maandamanoChawa la CCM katika ubora wake.