Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

Issue ni uongozi wa hovyo wa maza
 
Nenda kaandamane nenda kaandamane na siyo kupiga makelele yako humu.nenda ufundishwe adabu na kutii sheria bila shuruti
 
hivi wananchi wameyapuuza au polisi wamezuia maandamano? Mtu mwenyewe unakaa kijijini,halafu unazungumzia mambo ya Dar uko vizuri kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…