Maandamano ya Februari 20 Mbeya, kiongozi wetu atakuwepo nchini?

Ni lini viongozi wa kiafirca waliheshimu katiba? Au katiba hiyo ikitungwa wazungu watakuja kuisimamia?
 
Yawezekana ni muoga. Anachukua tahadhari. Endapo maandamano yatachukua sura mpya, yeye tayari aliishajiondoa nchini kabla ya shari.
 
Angekuwa muoga ,asingekomaa na Dili la Bandari pamoja na kelele zote zile.

Ukisema ana dharau, nitakubaliana nawe.
 
Rais akae kuangalia maandamano ya chadema kuweni serious ,toka mmeandamana kipi kimebadilika ?faida ipi imepatikana
 
Kwamba tukitaka akae huko huko,

Maandamano yawe daily?
 
Kwamba tukitaka akae huko huko,

Maandamano yawe daily?
Endeleeni kuandamana sisi tutafanya kazi mwisho wa siku mnawasaidia wanasiasa kufanya kazi zao ,Rais yupo busy kufanya kazi zake,hawezi kupangiwa na kakikundi
 
Mnafanya KAZI zipi Nchi ikiwa gizani?

Ni wachawi pekee ndo hufurahia Giza!!
 
Hv kuna mtu ana muda na huo upuuzi? Maandamano yatapunguza ugumu wa maisha? Badala mfanye kazi mnazurura mitaani
 
Endeleeni kuandamana sisi tutafanya kazi mwisho wa siku mnawasaidia wanasiasa kufanya kazi zao ,Rais yupo busy kufanya kazi zake,hawezi kupangiwa na kakikundi
Kupuuza maoni na kero za wananchi kumbe nayo ni sifa sikuhz?
 
Waziri biteko ulikuwa unawahi wapi ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…