Maandamano ya Februari 20 Mbeya, kiongozi wetu atakuwepo nchini?

Kayakimbia tena
 
Raisi ni taasisi hata asipokuwepo hakuna shida.
Kama Taasisi imeshindwa kuhakikisha umeme na sukari vinapatikana tumuulize nani?

Na kwann Kila yakifanyika maandamano anakuwa nje ya Nchi?
 
Kama Taasisi imeshindwa kuhakikisha umeme na sukari vinapatikana tumuulize nani?

Na kwann Kila yakifanyika maandamano anakuwa nje ya Nchi?
Hilo siwezi kujibu kwa nafasi yangu kama mwananchi. Kama hoja ni ujumbe kumfikia kupitia maandamano hayo basi na hakika unamfikia.
 
CCM WAWEWESEKA MBEYA

Wameita Bajaji Wapuuuzwa
Wameita Bodaboda wamepuuzwa
Wameita Wamachinga wamepuuzwa
Wameita wafanyabiashara wamepuuzwa
Wameitaa Mama kishe wamepuuzwa
Wameita waandishi wa habari wamepuuzwa

Maandamano ndiyo HABARI YA MBEYA.

Mwisho Wakamtuma Naibu waziri Mkuu Dotto awe anakatisha ktka maandamano ya CHADEMA [emoji23][emoji23]

Mara aende ,Mara arudi

Wamekutana na midfielder mkata umeme Tundu Lissu,Kawazuia Kupita Kudadekiiiiiiii.

Mkinuna tunapost tena,Shauri zenu
 
Hilo siwezi kujibu kwa nafasi yangu kama mwananchi. Kama hoja ni ujumbe kumfikia kupitia maandamano hayo basi na hakika unamfikia.
Kusikia au ujumbe kufika haijalishi,

Tunataka kuona matatizo madogo kama sukari, upatikanaji wa dollar, umeme yanapatiwa ufumbuzi.
 
Mbeya hapo kunani?

Mbona hekaheka Huwa haziishi?
 
Kusikia au ujumbe kufika haijalishi,

Tunataka kuona matatizo madogo kama sukari, upatikanaji wa dollar, umeme yanapatiwa ufumbuzi.
Kwahiyo akiwepo wakati wa maandamano bei ya sukari itashuka, dollar itapatikana kirahisi na mgao wa umeme utaisha.?
 
Kwahiyo akiwepo wakati wa maandamano bei ya sukari itashuka, dollar itapatikana kirahisi na mgao wa umeme utakuwepo.?
Magu angekuwepo Unadhani angeacha Nchi ijiendee kama gari bovu?

Vibali vya kuagiza sukari vimetolewa shehena umeingia na Bado imefichwa.

Yaani hapo Unadhani nani anatakiwa kuwa mkali?

Uzuri uchaguzi uko karibu,

CCM mnalo!!
 
Mimi wala sipo huko, nipo na hoja ya msingi ya kutokuwepo kwa raisi wakati wa maandamano.
 
Mimi wala sipo huko, nipo na hoja ya msingi ya kutokuwepo kwa raisi wakati wa maandamano.
Ok,

Kwenda ziara wakati mifumo anayoiongoza haifanyi KAZI,

Kwako ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…