Maandamano ya Februari 20 Mbeya, kiongozi wetu atakuwepo nchini?

Kupuuza maoni na kero za wananchi kumbe nayo ni sifa sikuhz?
Sema" kupuuza chadema" usituunganishe na sisi tusio andamana kwa jina jumuishi la wananchi.
 
Tusubiri Arusha ikiwa atakuwepo!
 
Baada ya Maziko ya aliyekuwa Rais wa Namibia,

Kiongozi wetu atakuwepo nchini Ili kusikilizia kero za waandamanaji Arusha?

Au atapangiwa safari ingine?
 
Revealed, kiongozi wetu anakimbia HOJA za waandamanaji.

Anyway, CNN, ALJAZEERA, BBC watamfikishia habari huko aliko.

Arusha mbarikiwe Kwa KAZI nzuri.
 
Kagera, hatimaye Leo Shinyanga,

Yupo nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…