The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Akili zako zina match na kiatu ulichovaa kwenye avatar yako 😹Mkiweka pua zenu barabarani safari hii mtajuta.
Wajeda ndio watawatuliza munkari.
Wazazi wenu kijijini watalia sana
Hawajapiga risasi, wewe ulikuwepo kweli au mmejazana propaganda mtaani?GT
Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo.
Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole.
JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo katiba na rasilimali za nchi hii tuwaepuka kabisa tulinde nchi yetu wenye dhidi ya mafisadi
Nimeshakuambia mara kadhaa hiyo akili ya kutegemea jwtz iwazie hata kupiga nyeto.Ngoja nikwambie kitu Jeshi letu limegawanyika, ndio maana Samia anawaza sana Kuja Dar
YOLOMkiweka pua zenu barabarani safari hii mtajuta.
Wajeda ndio watawatuliza munkari.
Wazazi wenu kijijini watalia sana
Washenzi sana.GT
Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo.
Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole.
JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo katiba na rasilimali za nchi hii tuwaepuka kabisa tulinde nchi yetu wenye dhidi ya mafisadi
Sawa wewe ambaye utaishi mileleMkiweka pua zenu barabarani safari hii mtajuta.
Wajeda ndio watawatuliza munkari.
Wazazi wenu kijijini watalia sana
Baki hivyo hivyoHawajapiga risasi, wewe ulikuwepo kweli au mmejazana propaganda mtaani?
Very true 👍Nimeshakuambia mara kadhaa hiyo akili ya kutegemea jwtz iwazie hata kupiga nyeto.
Wale si wenzetu 100%
Umeongea point. Kitendo tu cha JWTZ kukubali ule uchaguzi ni ujinga mkubwa sanaNakubaliana na Missile of the Nation kwa 100% na comment yake hapa
.......................
Jeshi linalodai kuwa miongoni mwa majukumu yake ni kulinda katiba ya nchi lakini cha ajabu jeshi hilo linalinda utawala uliopatikana kihuni kwa uchaguzi feki. Sasa hapo sijui ni katiba gani jeshi hili linalinda wakati katiba inasema wazi kuwa mamlaka ya utawala inabidi yatokane na ridhaa ya wananchi.
Hili jeshi lingekuwa la wananchi kweli basi lingesimama kidete ili uongozi wa nchi utokane na ridhaa ya wananchi kwelikweli